Wazungu tanzania Ashiki sana!!! Na hamna watu, wananchi hawajawa teyari bado wajinga

mkuu numekubali uchambuzi wakeo na hii kitu ni kweli kabisa nishawahi kuongea nna baadhi ya watoto kutoka italy wakawa wanaongea maneno hayahaya wengi wanapendelea sana kwenda jamaica
wanaume wa kibongo mpo?
he heee,:yo:

Mpooooo!
 
Mimi naona vizungu vingi vinavyokatiza hapa arusha vichafu chafu tu.....labda na wao wajitahidi kujiweka soap

Haaaaa haaaaaa umenichekesha kweli wewe, shida yako ukivipata unavinusaga sana, vipige sop sop mwenyewe, sado ya omo sio bei kiivo.
 
Hapa umekosea njia. Kuna majukwaa ya kutangaza tenda kama hizo. Nina imani JF members si watu wa dhiki na wakosefu wa maadili kiasi hicho mpaka wafikie kujiuza.

Mnajifanya wakali lakini nyinyi ndio wale wale wa Kinondoni usiku? mimi ninaongea na wanaonielewa wasiokuwepo kwenye hesabu wanyamaze, halafu si nilitanguliza kuwa bado hamjawa teyari kwenye world integration? kwa hiyo ni kweli bado ushamba mwingi, ndio maana hata wzungu wa Dar nimeona wanatembea na wahindi japo wahindi hawapendwi na wazungu sana, wanaamini wana maumbile madogo.
 
Hivi karibuni nimerudi Tanzania, nikafurahi kuona wazungu wengi kwenye ndege, hasa ma single hasa wanawake na baadhi ya wanaume wenye hadhi ya kuwa wa maana.

Utani wao wengi kwenye ndege na airport ni kuwa nchi inaruhusu kwa sababu haina rekodi mbaya ya ukimwi, kwa hiyo unaweza kula vyakula aina vyote, kuonja ladha zote za nchi, yaani hadi watu.

:pound: :pound: :pound: :pound:
 
Hivi karibuni nimerudi Tanzania, nikafurahi kuona wazungu wengi kwenye ndege, hasa ma single hasa wanawake na baadhi ya wanaume wenye hadhi ya kuwa wa maana.

Utani wao wengi kwenye ndege na airport ni kuwa nchi inaruhusu kwa sababu haina rekodi mbaya ya ukimwi, kwa hiyo unaweza kula vyakula aina vyote, kuonja ladha zote za nchi, yaani hadi watu.

Malalamiko niliyakuta Zanzibar, nilienda Disco nikiwa peke yangu Mweusi, ukiondoa wauzaji, wazungu kama 500 single kama 400 wanawake wengi kidogo kuliko wanaume,
nikasikia malalamiko, mwanamke mmoja akawaambia wenzake, ah jamani bora tungeenda Jamaica, Brasil au Japo hapo Kenya, hapa hamna wanaume.

Wapo wanaume lakini wanapiga pombe tu kwenye Bar za kienyeji na malaya wa chapchap, kwa wabara walioko zanzibar, kwa wazanzibari wakishafanya biashara mchana ya magari na maduka, kipato kinatosha kwa mambo yote hawana haja ya kuwa mitaani. Wanaenda kujichimbia na wake zao, na wachache wanaokubalika na wanajichanganya na wazungu na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaharibu kwa tamaa.

Kwa kuwa ni wachache na wazungu ni wengi, hawa develop mahusiano ya maana, leo huyu mjerumani, kesho mtaliano, kesho mkanada, na hii hali ni meona kwa wazanzibari, wabara walioko beach kama wachaga, wapare, wamasai, wameru, wamakonde na kidogo wasukuma.

Nimeongea na baadhi yao wanakiri jamii haikuwa teyari, kwanza style za kimapenzi za kizungu wengi zinawashinda, usafi, kutokuwa na tumbo au unene kitu ambacho kinawatia kichefuchefu wazungu.

Na ulevi mwingi, wachache waliofanikisha kuwa karibu na hao wazungu na kuoana kwa wanavyoeleza wenyewe ni kwamba maisha dakika utaona kama mchezo, nimeona ushahidi wa waliopewa mitaji hadi milioni 600 kwa pamoja na kibibi cha kitaliano, wao walidhani ni pesa nyingi lakini hizo ni laki 3 tu italy.

Utanunua labda chumba au parking ya gari, nikasikitika sana kwani mimi nikiwa nje najua mzungu akisema anaenda africa wengi wanamwambia kwa raha zako. Kama kusema kule wanaume wana maombo makubwa na wazuri kitandani, pia wanawake weusi inaaminika wana moto wa hali ya juu na makalio magumu.

Kwa hiyo karibu wote wanapokuja Africa hasa zile sehemu za kitalii zilizoko teyari kama Zanzibar, Kenya, Capo Verte, Tanzania bara sio sana utalii wa Holiday resorts kwani hamna au bado hazijatangazwa au hamna mikataba kati ya bara na makampuni ya Tour oparetors kubwa za Ulaya kama Thomas Coock, Grandi Viaggi, El corte ingles.

Na nyingine nyingi zinazoaminiwa na watalii wa kizungu na hasa makampuni yenye ndege zao wenyewe kama zile zinazopeleka zanzibar na Mombasa.
Inasikitisha kuwa nchi nyangu haijawa tayari kuwa na binadamu wenzao hasa wa standard ya juu, eti walevi ovyo, vitumboududu au vutumboulevi, haman usafi wa kutosha?

Jamani tubadilike kila mmoja wetu akijua kuwa umasikini ni vita tuliokuwa nayo na tunapigana kufa na kupona basi tuchangamkie dili kama hizo, ukifanikisha kutoka wewe na familia yako ndio nchi.
I can not believe this!!! Yaani unahamasisha ujasiriamali wa aina hii.. Basi wachukue wewe msafi....holy CRAP!!
 
Mimi naona vizungu vingi vinavyokatiza hapa arusha vichafu chafu tu.....labda na wao wajitahidi kujiweka soap
hii ni kweli kabisa an mtu ambaye ashawahi kukaa na wazungulazima akubaliane na wewe, mzungu hawezi kuoga mara mbili kwa siku hata siku moja. kama nadanganya mtuaseme hapa
 
hii ni kweli kabisa an mtu ambaye ashawahi kukaa na wazungulazima akubaliane na wewe, mzungu hawezi kuoga mara mbili kwa siku hata siku moja. kama nadanganya mtuaseme hapa
Halafu hili huwa najiuliza sana nikiangalia movie! wakiamka wanavaa nguo wanatoka, au wakilala kwa mfano wanafanya mapenzi wakikurupuka mmoja kuondoka anachukua nguo yake anavaa na kuondoka, kwa kweli hii ni dalili moja kuwa hawapendi kuoga au ni sababu ya baridi?ila maji si huwa yamoto?
 
Back
Top Bottom