T Tinambuya JF-Expert Member Feb 22, 2013 419 41 May 31, 2013 #282 ]Kama kutoa ni Moyo basi kujumlisha ni Figo[/QUOTE] Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ChescoMatunda JF-Expert Member Jan 7, 2009 1,232 442 May 31, 2013 #283 Mpya hii hata uwe mjanja wa kutongoza vipi lakini huwezi kutongoza tena mkeo.
Piere. Fm JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,208 1,170 May 31, 2013 #284 Kuzaliwa zezeta ni mpango wa Mungu lakini kuwa CCM ni Uzezeta wako mwenyewe.
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,030 5,772 May 31, 2013 #286 ahaa WAKUU HAMNA CHAPATI NGUMU MBELE YA SUPU.
S sebas New Member May 10, 2012 4 2 Jun 1, 2013 #287 ukitaka kujua ugumu wa kudai deni, kopesha ukweni.
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Jun 3, 2013 #289 ukiona mama mjamzito katema mate ujue mtoto tumboni kany*
W wamadish JF-Expert Member Jan 17, 2013 438 87 Jun 3, 2013 Thread starter #290 kama UBINADAMU ni KAZI mbona watu kibao tu hawana AJIRA?
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,030 5,772 Jun 4, 2013 #292 ata uwe na akili kiasi gani uwezi ukasome sociology IFM.
T thatha JF-Expert Member Apr 29, 2011 15,340 1,566 Jun 6, 2013 #294 wamadish said: Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA! Click to expand... hata ukiwa sharobaro vipi huwezi kufunga kanzu mlegezo
wamadish said: Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA! Click to expand... hata ukiwa sharobaro vipi huwezi kufunga kanzu mlegezo
T thatha JF-Expert Member Apr 29, 2011 15,340 1,566 Jun 6, 2013 #295 wamadish said: Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA! Click to expand... ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli
wamadish said: Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA! Click to expand... ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli
habariyamujini JF-Expert Member May 16, 2013 3,094 456 Jun 6, 2013 #296 umaskini ni kipimo cha akili yako
K kimage Member Apr 14, 2013 5 1 Jun 6, 2013 #297 Hata uwe mwanasayansi vipi,huwezi gundua muda uliopitiwa na ucngizi.
Arabii Member Dec 23, 2011 30 8 Jun 6, 2013 #298 Kama we kauzu jamba kwa nguvu mbele ya wakwe zako halafu uoneshe tabasamu.
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Jun 7, 2013 #299 ALLY NYENZI said: Hata uwe na bahat vp huwez kuokota nyumba Click to expand... Haahhahhaaha umeuua
N Nguza junior Member May 12, 2013 28 2 Jun 7, 2013 #300 Hata mtu awe mwehu vipi hawezi kuingia jeshini