Mary Chuwa
Senior Member
- Feb 24, 2011
- 177
- 40
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye input,process na output kwa uelewa zaidi.sitegemei mleta mada ataanza kujiajiri kwa kuanza na kazi ya shoeshine kama alivyoanza bakhresa. Bakhresa katoka mbali sana! Kingine kinachomsaidia ni asili yake pamoja na nguvukazi aliyo nayo. Hivi katika kubuni product mpya mfano azam cola unadhani ni akili ndogo imetumika? Anawatumia waajiriwa wake wasomi anaaowalipa vyema kumuendelezea biashara zake. Hivi unaweza kumlinganisha Mengi na Bakhresa? Kwa nini bakhresa sio public figure? Mengi naye alianzia mbali lakini tofauti. Alianza na product (nadhani ni kalamu za epica). Sasa angalia uendeshaji wa biashara kati ya Mengi na Bakhresa. Nafaka mtu yoyote anaweza cheza nayo ila si media na franchise.
Pia sioni lugha yoyote kali iliyotumika hapo. Hivi utatoka na shahada yako chuoni halafu uende kufungua duka la nguo, kuna ubunifu hapo? ambaye hajasoma hufanikiwa pia ila in a hard way (kama bakhresa). Naye pia ana input, process na output, lakini sitegemei wewe uliyesoma uzikose hizo.