wazo la kuanzisha firm

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,705
mimi na rafiki yangu tuna wazo la kuanzisha firm itakayo kuwa ina husika na mambo yafuatayo
1. Kufanya researches kwa niaba ya makampuni flani au organizations flani.
2. Shughuli za consultance zihuisanazo na mazingira n.k
3. Msaada na ushauri wa kisheria kwa watu wanao hitaji. Mfano. Kuandaa na kusimamia mikataba mbalimbali.
4. Uandaaji na business plans na projects.

Lengo letu hasa ni ku recruit wasomi waliomaliza na wako mtaani bila ajira na hawana wazo la kujiajiri. Japo hatuta ajiri watu wengi llakini walau tutaajiri wale tutakao kuwa na uwezo nao na pia ambao watakuwa competent.

Natoa shukurani kwa jf hasa ili jukwaa kwa kupanua mawazo yangu japo bado niko chuo nikielekea kuhitimu stashahada yangu lakini nimeweza na bado nina ndoto za kufanya mambo mengi makubwa.
 
wazo zuri ila tatizo la makampuni mengi yanafata majina na wazoefu wa research mwanzo utapata taabu ila komaa utafanikiwa tu.JUST DO IT.
Pia kuhusu mambo ya mazingira waweza ingia mkataba na watu NEMC kwani ni wachache watakuruhusu kufanya kwa niaba yao cha msingi ni kukidhi vigezo.

GO,GO YOUNG ENTREPRENEUR THE OPPORTUNITIES ARE OUT THERE WAITING FOR YOU,GO AND GRAB IT.
 
mimi na rafiki yangu tuna wazo la kuanzisha firm itakayo kuwa ina husika na mambo yafuatayo
1. Kufanya researches kwa niaba ya makampuni flani au organizations flani.
2. Shughuli za consultance zihuisanazo na mazingira n.k
3. Msaada na ushauri wa kisheria kwa watu wanao hitaji. Mfano. Kuandaa na kusimamia mikataba mbalimbali.
4. Uandaaji na business plans na projects.

Lengo letu hasa ni ku recruit wasomi waliomaliza na wako mtaani bila ajira na hawana wazo la kujiajiri. Japo hatuta ajiri watu wengi llakini walau tutaajiri wale tutakao kuwa na uwezo nao na pia ambao watakuwa competent.

Natoa shukurani kwa jf hasa ili jukwaa kwa kupanua mawazo yangu japo bado niko chuo nikielekea kuhitimu stashahada yangu lakini nimeweza na bado nina ndoto za kufanya mambo mengi makubwa.

Dream Big, Start Small.
Hongereni wakuu, kwa mwendo huu lazima mtoke, lakini mimi nawashauri hiyo firm isiwe in form of partnership, bali iwe LLC (kuna faida zake) kama mtaweza kumudu gharama za usajili kwa sasa.
Na kwa kuwa Mtaji wenu Mkubwa ni vichwa, inamaana hata share capital haitakuwa kubwa sana (hivyo gharama za compliance hazitakuwa kubwa). Hata hawa Big Five, hawakuanza kama tunavyowaona leo.
Kudos, kwa kuchukua jitihada wakati bado mpo shuleni
 
Back
Top Bottom