Wazo Jipya - Mkono mtupu Haulambwi

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,347
2,151
Wadau nimeona ile thread ya kuchangia JF; ningependa kuchangia!
details za Akaunti nimeziomeona.

Angalizo: Siku hizi waTZ tunapenda sana maisha ya "REMOTE" hivyo basi wahusika wanaonaje wakituwekea hutuma ya kuchangia kwa kupitia M-PESA/ZAP. twaweza weka 500 500 mpaka hesabu ikatimia; na tukasababisha mpango mzima.

Bank foreni naona zinakatisha watu tamaa

Asanteni
 
Tena mikoani ndio usiseme mpaka ATM ni misururu!..............naiwahi foleni yangu bank
 
He he he, Naona mnawasema CRDB na NMB hao wazee wa foleni. wazo zuri mia tano tano ni rahisi mtu kurusha kwa urahisi - ingawa pia kuna credit unaweza kuzituma ki urahisi kwa wahusika muda wowote number zao wametoa siku nyingi.
 
Back
Top Bottom