Waziri wa Maliasili na Utalii anapata ajali mbaya anatibiwa Muhimbili, CHADEMA wakashinikiza Wakili akatibiwe Kenya na Ubeligiji

Unachekesha na wale wanao kwenda India kwa nini wasitibiwe Muhimbili?
Kuna baadhi ya matatizo Muhimbili hawana vifaa. Huwezi kufanya mazoezi kwenye mwili wa mtu. Huyu kavunjika mkono na anaongea na simu unataka kulinganisha na mtu aliye kuwa kwenye coma?
Kwanza huyu hajaumia sana na pia ila ma siasa hapo itachukua nafasi
Dawa yao hawa ni kuanza kumlipua fisiemu mmoja baada ya mwingine hadi kizaz chao haramu kitoweke.
 
Ficha upumbavu wako
Ajali mbaya ambayo picha za mwanzo zinaonyesha anaongea na simu.Tuwe serious,hata issue ya Wakubwa kujikusanya kumpokea ndiyo imeharibu kabsaaaa.Kuna kitu watu wanataka Ku justify lakini ime backfire ile mbaya.Get well soon my fellow Dr.
 
broo akili huna hata takwimu huna ?
Ndugai mmemtibu wapi ?
Kinana mmemtibu wapi ?
Wastara mmemtibu wapi ?
Majuto naye mlichangia akatibiwe wapi ?
Kupata ajali si sababu ya kwenda nje inategemea na athari mwilini..
Kama CHADEMA walitaka kumuua Lissu mnamaanisha mlishirikiana nao kwa kuondoa CCTV na Walinzi wa geti pale kwenye makaazi ya mawaziri ?!
kwa nini msiwakamate chadema kesi ikaenda mahakamani na lissu akaletwa kutoa ushahidi ?
ivi kwa nini pombe na bashite hawajawahi kulaani utekaji ?
 
nimeandika na kufuta mara saba kila nkikumbuka ban hasa long ban itoshe tu kusema siyo kosa lako
 
Ajali mbaya ambayo picha za mwanzo zinaonyesha anaongea na simu.Tuwe serious,hata issue ya Wakubwa kujikusanya kumpokea ndiyo imeharibu kabsaaaa.Kuna kitu watu wanataka Ku justify lakini ime backfire ile mbaya.Get well soon my fellow Dr.
Ujue mambo mengine hata sio ya kufanyia siasa, mie mwana ccm ila kwa ujinga alioundika siwezi msupport yaani mtu alikua attacked na 38 bullets za SMG robo tatu keahafariki unakuja kulinganisha na mambo mrngine kabisa.

Basi wacha tusiongee sana
 
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
Sijui uvccm nani aliwaloga mnaandika pumba tuu kila kukicha,,, ifikie mahali mjitambue sasa sio kuja na trend zenu huku za urojo,,, mtapata tabu sanaaaa
 
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
Ishu siyo kutibiwa wapi, ishu ni usalama, yaani wakupige wao halafu wakutibu wao, hata kama ni mabingwa vipi huwezi kukubali.
 
Anafuata sheria na taratibu baada ya hapo anaweza kwenda kutibiwa nje lakini lissu alitaka kupita njia ya mkato na alilijua hilo ila kwakuwa chadema waliumbwa kubisha!
Hivi kwenye hatari ya kufa unaweza kufuata taratibu na sharia? Labda kama unayajua mawazo ya Mungu.
 
Waziri hana jinsi au namna inabidi akubali kutibiwa MNH...

Anayetoa vibali vya kwenda kutibiwa nje kwa viongozi hatoi...

Cc: mahondaw
 
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
Unatia kinyaa
 
kwa kweli watz hapa tunalakujifunza ili kujua jinsi tulivyo na watu wapumbavu kama ww, utalinganishaje matibabu ya mtu aliyetwangwa lisasi zaidi ya 20 na aliyepata majeraha ya mkono tena ya mchubuko?
 
Anafuata sheria na taratibu baada ya hapo anaweza kwenda kutibiwa nje lakini lissu alitaka kupita njia ya mkato na alilijua hilo ila kwakuwa chadema waliumbwa kubisha!
Kwahiyo Lissu na risasi zote zile bado alikuwa na fahamu ya kuamua akatibiwe wapi! Kama bado hujachumbiwa basi hautachumbiwa milele.
 
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
Unafananisha maembe na nazi. Ushauri ujue kufananisha vitu vinavyofanana.
 
Kweli ukiwa CCM lazima utumie Kalio au Tumbo kufikiri,Hivi unafananisha condition aliyekuwa nayo Lissu( Kapigwa Risasi 38,Kapoteza Damu 90%) na Kigwangallah ambaye baada ya ajali kuna picha amepigwa anaongea na simu?

Lissu alikuwa kwenye coma zaidi ya week wakati HK hajawa kwenye coma na alikuwa anaongea na simu baada ya ajali,Aliyempiga risasi lissu hawajulikani lakini kuna viashiria vya watu walioshiriki wanajulikana ni kina nani sasa unataka umpeleke MNH ambapo usalama wake mdogo?

HK hata akitibiwa muhimbili ni sawa maana ajali ile haina mkono wa mtu zaidi ya Uzembe wa Dereva kwahiyo hakuna mtu ambaye anaweza akamdhuru pale MNH na condition aliyokuwa nayo HK inatibika sidhani kama MNH hakuna Ma Dr wa kutibu mkono uliovunjika.
Mkuu yani watanzania wengi wana akili kama za huyu jamaa hasa ccm.. Na wala tusiwalaumu kwasababu sio kosa lao Bali wamekosa kitu kimoja tu ambacho mheshimiwa lowassa alitaka kuimplement Kwa watz nacho ni elimu.., hakika nakwambia watanzania calibur ya huyu jamaa hata ukawapeleka marekani na wazungu wa marekani ukawaleta huku, hawa wataenda kupaharibu marekani alafu wazungu watapatengeneza Tanzania alafu haohao watatamani warudi tz marekani kubaya maisha magumu...shida no background yetu elimu mbovu sasa fikiria rais anakuja na kauli mbiu ya tz ya viwanda vijengwe ndani ya miaka mitano wakati watz wengi hawajasoma na hata waliosoma wakati yuko secondary shule ilikua haina hata Mwalimu wa physics so mtu hata theory za Einstein , Newton hajui wala what is mass hajui alafu unategemea viwanda hapo.. Kichekesho
 
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
Akili nyingine hazina tofauti na ubongo wa nguruwe!
 
Back
Top Bottom