johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Waziri wa Kilimo Zanzibar mh Shaame Khamis amesema Ndizi za Veronica Mwanjala zilitaifishwa kwa sababu Zanzibar imezuia kuingiza ndizi kutoka bara kwa sababu ya magonjwa ya migomba yaliyoko bara
Pia Mwanjala aliingiza Ndizi hizo kimagendo akizichanga nya na nyanya ili Mzigo uonekane ni wa Nyanya
Mh Khamis amesema siyo kweli kwamba Zanzibar inajitosheleza kea ndizi bali kinachohofiwa ni hayo magonjwa ya migomba yaliyoko bara
Chanzo: Mwananchi Digital