Waziri wa fedha Mahututi

Hali yake ni mbaya?

Si pembe ya ndovu zipo?

Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema sikia kuomba kwetu!
 
Isije kuwa maCCM wamempiga kipapai ili nafasi yake apewe Asha Rose Migiro...
View attachment 124748



Kwa hawa wacheza rafu hadharani kila kitu kisicho wezekana kwao kinahalalishwa ili kiwe halali. Si unaona Kinana? Jamaa ni jambazi na kila mtu hata wanyama wa porini wanajuwa hivyo ila kwa CCM na kutaka kulindiana maslahi wamempa ukatibu mkuu apumzike na kuua wanyama ili kesi washushiwe wengine. Hii nchi yaani ni Ze Comedy tu, muda tu Joti atachukuwa nchi.
 
acha kukariri mkuu, dr mvungi (r.i.p) akiwa south Africa iliripotiwa kuwa mahututi ......kilichofuata baadae ilikuwa ni pigo kwa tume nzima ya mabadiliko ya katiba na mpaka leo hatuna hakika pengo lake limezibwaje!!!

Pengo halijazibwa na pia halitazibwa kwani tume yenyewe haimalizi mwezi huu wa Desemba kabla ya kumaliza muda wake iliopewa...
 
Mpeni mungu rushwa za maombi ili apone haraka, kodi yetu itumike kidogo.
 
Back
Top Bottom