R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
Ni kipindi sasa tunaona utendaji wa waziri wa afrika mashariki ukiwa chini ya kiwango. Huku mawaziri wengine wakichapakazi Kenya , Uganda na Rwanda.
Mfano rais wetu kashindwa kuhudhulia vikao vya viongozi wa kanda kwa muda wa mwezi mmoja vikao viwilil.
1. Kikao cha ushuru wa pamoja
2. kikao cha good governace
3. Kikao cha smart partenship siju waziri hakuwalika viongozi wa Rwanda, Burundi na Kenya
4. Kikao cha wake wa marais ni Janeth Mseveni ndo alihudhulia, hatujawona mke wa Kenyatta, Kagame ,rais wa Burundi
Ukisikiliza majibu ya waziri ni mepesi mfano kuhusu kikao kilichofanyika uganda alidai hakikuwa kiako cha EAC, inakuwaje asikemee hadharani kamatunavyo mshudia mh membe kuhusu swala la malawi alivyo likalia na kuliweka sawa na watu kujua msimamo wake.
Kama yupo busy na kampeni za 2015 ni wakati muafka aachie madaraka.
Sisi atuwezi kusarvive bila EAC na EAC haiwezi kusavive bila Tanzania.