kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,512
- 2,730
Haku na waziri mjinga kama huyu mfoji vyeti, takataka kabisa shame upon you nchimbi.
Ccm ovyo kabisa mtakimbia kweupe mchana
akiondoka madarakani hamtapata waziri kama yeye
Haku na waziri mjinga kama huyu mfoji vyeti, takataka kabisa shame upon you nchimbi.
Ccm ovyo kabisa mtakimbia kweupe mchana
Akitoa tamko la serikali TBC1 waziri wa mambo ya ndani ndugu Emmanuel Nchimbi amesema polisi imeimarisha ulinzi Mtwara.
Akitoa tamko la serikali TBC1 waziri wa mambo ya ndani ndugu Emmanuel Nchimbi amesema polisi imeimarisha ulinzi Mtwara.
Ana mdomo wa kuongea lakini masikio ya kusikiliza hana.
nchimbi amaenikumbusha JK aliposema kuwa yale mabomu yaliyolipuka mbagala haitatokea tena, haukuisha mwezi yakalipuka gongo la mboto, jk akaingia uvunguni hakutoa kauli tena.
Acha kutupotosha hakuna hali ya hatari iliyotangazwa katika taifa letu, wana kusini wapo salama na wanaendelea na shughuli zao za kila siku bila hofu yoyote.
Hii ni sababu ya kumstaafisha waziri.. Sema not ina Tanzaniasasa km waziri kasema jana kuwa kaimarisha ulinzi,leo yanatokea haya had jeshi linakwenda na kuumbuliwa na ajali.Itakuweje wakija kutoka nje ya mipaka?Ndio napata ufahamu kwanini watu kigoma na mikoa mingine ya magahribi wanavamiwa na magruneti, na silaha kali na kuporwa kila siku, mara moja moja hujitahidi kujikomboa na kuua wachache.
Taarifa za uhakika zinasema kuwa kuna difenda 15 zimetoka dar usiku huu na zitaingia mtwara usiku huu ili kuja kuongeza nguvu kwa wenzao wa mtwara.lakini mbona hali hio haijafikia kama ambavyo polis wanavyofikiria?inaonekana wanataka kutumia nguvu nyingi bila sababu. Kwa wale walio mbali na mtwara ukweli ni kwamba leo wafanyabiashara wote pamoja na wadau wa usafiri(bodaboda,bajaj na daladala) watasitisha kutoa huduma kwa mda wa siku 1 ili wapate mda wa kusikiliza hotuba ya bajet ya wizara ya nishat na madini.huku hakuna maandamano wala mkutano na wanaosema kama kuna maandamano hao wana mambo yao.polisi acheni kupita mitaa huku mukiwa na mabom na bunduki mtazusha vurugu(vita) tumieni busara zaidi ktk hili