Waziri Mwigulu: Tuko Vizuri na Hazina iko salama ndio maana tunalipa Mishahara kabla ya Sikukuu ili Wananchi wafurahi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,791
143,244
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema Serikal ya Awamu ya 6 inajenga Uchumi utakaowezesha vizazi vijavyo kufaidi Matunda ya uhuru wa nchi Yetu

Dr Mwigullu amesema Hazina ya Nchi iko salama ndio maana wanalipa Mishahara kabla ya Sikukuu Wananchi wafurahi

Mwigullu alisema hayo huko Moshi kwenye Ibada

Mungu ni mwema Wakati wote!
 
Sawa bwashee, tumemsikia Madelu,
Lakini mwambie Watanzania sio wajinga,
 
Dr Mwigullu amesema Hazina ya Nchi iko salama ndio maana wanalipa Mishahara kabla ya Sikukuu Wananchi wafurahi😂😂😂😂.

Ndio viongozi tulionao!😂
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema Serikal ya Awamu ya 6 inajenga Uchumi utakaowezesha vizazi vijavyo kufaidi Matunda ya uhuru wa nchi Yetu

Dr Mwigullu amesema Hazina ya Nchi iko salama ndio maana wanalipa Mishahara kabla ya Sikukuu Wananchi wafurahi

Mwigullu alisema hayo huko Moshi kwenye Ibada

Mungu ni mwema Wakati wote!
Nchi Hii utoto mwingi sana. Wanaolipwa mishahara na serukali Wapo wangapi? Ukilinganisha na idadi ya watanzania?
 
Ameanza kujipitisha kwenye makanisa, mara wanafamilia kumnunulia gari Askofu.Kila penye uhitaji wa michango ya kanisa ataanza kuwepo na utasikia ndio mgeni rasmi
 
Kulipa mishahara ni jukumu la serikali kwa wafanyakazi, na hasa kama hiyo sikukuu imeangukia karibia na mwisho wa mwezi ndio hutakiwi kujisifu kabisa kama kweli una akili timamu.
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema Serikal ya Awamu ya 6 inajenga Uchumi utakaowezesha vizazi vijavyo kufaidi Matunda ya uhuru wa nchi Yetu

Dr Mwigullu amesema Hazina ya Nchi iko salama ndio maana wanalipa Mishahara kabla ya Sikukuu Wananchi wafurahi

Mwigullu alisema hayo huko Moshi kwenye Ibada

Mungu ni mwema Wakati wote!
Tunampina kwa taa kuzimika uwanjani na repoti ya CAG hamna kitu hapo ni upepo wa kusi na kaskazi
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema Serikal ya Awamu ya 6 inajenga Uchumi utakaowezesha vizazi vijavyo kufaidi Matunda ya uhuru wa nchi Yetu

Dr Mwigullu amesema Hazina ya Nchi iko salama ndio maana wanalipa Mishahara kabla ya Sikukuu Wananchi wafurahi

Mwigullu alisema hayo huko Moshi kwenye Ibada

Mungu ni mwema Wakati wote!
Ni fedheha wazir wa fedha kujisifu na vitu vidogodogo hivyo petty issue
 
Sawa bwashee, tumemsikia Madelu,
Lakini mwambie Watanzania sio wajinga,

Huyo Madelu sijui kama wanafanya analysisi ya uwiano wa Deni la Taifa na Pato la taifa pamoja na Due dates za madeni ya Taifa! Mapato yetu ya Taifa hayakidhi mahitaji yetu ya Recurrent na development expenditure na ndio maana tunategemea misaada toka kwa wafadhiri!! Mtu makini hawezi kujisifu kuwa tuko vizuri kwa kuweza kuwalipa mishahara wafanya kazi wake huku nchi iko hati hati Kushindwa kulipa madeni yake yanayokaribia kuiva!!!
 
Back
Top Bottom