BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Kwanini kila siku waminywe raia tu na si waheshimiwa? Suluhu mshahara wake kwa mwaka ni zaidi ya milioni 400 na kila kitu analipiwa na walipa kodi kwa nini asikatwe kodi ya 300 million? Marais wastaafu kiinua mgongo chao ni 75% ya mshahara wa Rais kwa nini wasikatwe kodi pia Waziri Wakuu wastaafu? Wabunge mishahara yao, marupurupu na kiinua mgongo cha zaidi ya 300 million kila mmoja kwanini wasikatwe kodi?
Tuvumilie tax base ni ndogo,Suluhu ni kuwafikia wengi kwa indirect taxes.