Waziri mwanry na ahadi za rais

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mh. Mwandry alikiri mbele ya bunge kuwa ahadi za Rais hazitekelezeki. Zimejaa lukuki. Hii kali.
 
...bora kajisemea ukweli...kumbe Vasco da Gama II alikuwa anakurupuka kutoa ahadi hewa
 
Back
Top Bottom