Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

Nyumbani ni sehemu yoyote ambapo Una amani na Furaha. Pale unapozaliwa tu unapewa kabila, unapewa Jina na mavitu mengine bila ridhaa yako. Ndiyo system ya Dunia. Kwa hiyo mtu asipokuwa na amani na mavitu aliyopewa sababu tu kazaliwa hapo ni sawa tu.
Home sweet home broda
 
Yani katika majitu matahira kwenye nchi yetu ni pamoja na yale yanayoamini mtu hawezi kupingana na serikali, yani yanaaminsha watu kuikosoa serikali ni kosa la jinai, yanajenga uoga kwa wananchi kuogopa kuikosoa serikali, ili serikali ipate mafanikio inatakiwa ikubali kukoselewa pale inapokosea.Mfano Diamond anaposema serikali haikutoa msaada na haisadii kukuza vipaji vya wasanii, serikali inatakiwa imueleweshe na immpe mifano ya wasanii waliokuzwa na serikali, sio kumtishia na kuanza kumfanyia fitina kwa sababu kawajibu vibaya, huu upumbavu wa kuogopesha watu kuikosoa serikali MKOME KAMA MLIVYOKOMA KUNYONYA MAZIWA YA MAMA ZENU..............Mnakera sana,
Mkuu kukosoa na kupinga serikal ni vitu viwil tofout. Ni kama Maji na mafuta
 
Maadili yalishaharibika zaman sana..!
BASATA ilikua wapi wakati wote huo?
Unazifungia kwenye Media ila kumbuka kwenye simu, social media na majumban kwetu tunazo.Tunapiga tunaangalia na kuusikiliza tunavopenda.
Sion na sielew wamezuia nini?
Hicho wanachozuia ndo kizaz cha sasa kina ari na 'mzuka' wa kutaka kukiona.

Ushauri wangu kama wangeweza nyimbo zote na video zingehakikiwa kabla ya kutolowa kwenye media
 
Mpaka saizi Diamond ashashinda tatu bila, kama waziri Mwakyemve anakubali Diamond kamjibu vibaya Naibu wake na anaishia kumpa ushauri tu, maana yake tumepigwa tatu bila the hope saizi Kipenz changu Juliana unajitoa uamuzi wako, unatamani siku zirudi nyuma, maana ndoto zako unaziona zikififia
 
Japo ni shabiki wa mond ila kazingua ile sio video Bali ni pornograph,baada ya mtelemko mkali nauona mlima mrefu mbele ya mondi
Tatizo hatujui daimond anakusudia soko gani Kwa ushauli Tu kuna pesa nyingi Sana kwenye entertainment kama serikali ikiwa makini kuwekeza vyema
 
I don't buy this, naona ni kama mambo ya kupika. Why now, it just don't make sense. Hawa watu wanatuhadaa lets be prudent tutaona tu mwisho wake
Ile video hapana aisee.. Uchi Wa mwanamke upo nje nje.. Ule sio wimbo bal ni porno movie
 
Pata potea inaendelea, hapa Diamond atakuwa anamcheka Mwakyembe kwa dharau kwasababu amesema mwenyewe atahamia Kenya na 2020 mwenye mbwa wake atamuita akamuunge mkono.

Walishaambiwa huu utawala umefitinika hata Mwakyembe hayuko salama na kama haamini kuna siku utamsikia mwenye nchi yake akisema SITAKI KUONA WASANII WANANYANYASWA hapo ndio atajua huyu mtu alienda kuchukua form mwenyewe.

Kama Mwakyembe na mwenzake Shonza wana kumbukumbu wangechagua pia kumnyamazia Diamond kwasababu wote wawili ni miongoni mwa WASIOMUELEWA.
 
Angekuwa anasoma mitandao hii Diamond angeshaielewa nafasi yake kwani ameonywa sana kwa kiburi chake anachoonyesha siku hizi hasa kwa matamko yanayokera.Juzujuzi hapa amejinasibu na maji ambayo lazima uyanywe au uyaoge.Hapa lazima atakuwa anamuambia mtu au taasisi.Aaah ! Diamond ina maana umesahau ulipotoka?Kwa waliosoma mahesabu ya 'calculas' kuna kitu kinaitwa 'maxima' and 'minima'.Diamond amefikia 'maxima'.Hapa 'tanget' ni zero na graph inaanza kushuka.Tunamomba Mwebyezi Mungu amnusuru
 
Kweli kabisa serikali kitu gani? Kwa alipifikia diamond hakuna media wala serikali ya kumshusha ila Muda wake utakapofika basi atashuka
Hii isiwe sababu ya kutudhalilishia Dada zetu na mama zetu. Tunaumia sie tulio na watoto Wa kike tena wanapenda kuangalia nyimbo zake
 
Return Of Undertaker Diamond is right tatizo la nchi hii vilaza wengi wamepewa madaraka makubwa matokeo ya ke huwa wanakurupuka kwenye maamuzi bila kujali how much hawa watu wame invest na athali wanazo sema.
 
Yote kwa yote lawama ni kwa magufuli, unatuchuguliaje juliana kuwa naibu waziri? Hivi watanzania wenye akili huko ccm hakuna? Yaani kwa kuwa juliana alikuwa anawatusi chadema mitandaoni ndio tiketi ya kupewa unaibu waziri? sometimes nashibdwa kuelewa uelewa wa huyu mteuzi uwa anazingatia nini hasa, kama nifadhili basi angepewa hata khadija Kopa kaipigia sana kampeni ccm miaka yote ya maisha yake.
Juliana yuko sahihi kabsa..yule ni mwanamke. Hakuna mzaz mwenye watoto Wa kike aka support ile video.
 
It is VERY dangerous to be RIGHT when the government is WRONG.
Diamond awe makini na kazi zake, serikali huwa HAIKOSEI. Anaweza kujikuta anadaiwa mabilioni ya kodi na TRA ana kukuta anavunjiwa nyumba Madale kwa upanuzi wa njia. Lolote linawezekana
Ficha ujinga wako Mzee..tunajadil video kwa ajil ya masilah ya watoto wetu
 
Yeye ana akili kama hizo zako ndo maana aliwapigia kampeni ccm, na ndiyo maana hakulaani kitendo cha Roma kutekwa nk. Sasa wewe unakuja na ngonjera za “awe makini”, wabongo bhana! Changia with something new! Unarudiarudia tu vitu ambavyo ni easy and everybody knows. Tell us something we don’t know, damn!
Hiki kimejaa garbage.. Chadema vs ccm..ficha ujinga wako huu
 
Back
Top Bottom