Waziri mkuu wa Uingereza ampongeza JK

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

kukuza uchumi.

Source: Taarifa ya habari Mlimani TV.

My take: Kama Waziri Mkuu wa uingereza amemsifia Rais Kikwete, hawa akina Richard Brunwick

wanatoka wapi kueneza majungu na uchocheza katika mitandao?

Wamuulize Waziri mkuu wao awape ukweli badala ya kuzusha mambo.
 
mmmmh! kuna siri nzito kati ya cameroon na JK. katiba mpya ile sheria labda itapitishwa.
 
Membe alikuwepo kuonana na Cameroon ? Mleta mada wewe ni mpuuzi sana .Watanzania wanakufa wewe unaongelea JK kusifiwa ? Wewe kweli ni nanga unazidiwa akili hata na kibao .Kinakuonyesha chooni ni huku wakati hakijawafika .Wewe unazama hadi matopeni hutoki hadi uvutwe .
 
We nae tweunafikir hata kidogo ungetegemea cameroon asimsif hadharan?kilemba cha ukoka.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
kamsifia jinsi alivyotengeneza filam ya KILIMO KWANZA, kilimo kwanza watu wanakula mizizi huku trekta zikiozea Dodom....ama kweli ukiamua kuusifia mzoga wa mbwa lazima uanyie kwenye meno yake...meno yake ni meupe!
 
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

kukuza uchumi.

Source: Taarifa ya habari Mlimani TV.

My take: Kama Waziri Mkuu wa uingereza amemsifia Rais Kikwete, hawa akina Richard Brunwick

wanatoka wapi kueneza majungu na uchocheza katika mitandao?

Wamuulize Waziri mkuu wao awape ukweli badala ya kuzusha mambo.
Hv kumbe PM wa uingereza anaona mafanikio ya kilimo kwanza kuliko ss tulio TZ? Ajabu hii!
Tushushie hayo mazungumzo kwa kina, weka nukuu au video clip.
 
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

.

@Kengemumaji, hivi kwa mfano kama mimi nakulisha wewe na mkeo na wanao halafu tutakutana mahali nikakusifia kwa jitahada zako za kukuza kilimo (kilimo ambacho bado hakitoshelizi) utaamini nimekusifia kwa dhati au nilimaanisha something unspeakable?

Labda nikuulize kwanini Cameroon hakumsifia kwa kukuza madini, mawasiliano, etc? Unaacha watu wangine wanaondoka na dhahabu, almasi tena bila hata ya kulipa kodi halafu wewe unapanda ndege kwenda kuhubiri kilimo? Hata mimi ningekusifia maana yataka moyo!
 
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

kukuza uchumi.

Source: Taarifa ya habari Mlimani TV.

My take: Kama Waziri Mkuu wa uingereza amemsifia Rais Kikwete, hawa akina Richard Brunwick

wanatoka wapi kueneza majungu na uchocheza katika mitandao?

Wamuulize Waziri mkuu wao awape ukweli badala ya kuzusha mambo.

Unafiki mtupu sekta ya kilimo ipi wakati hahuna pembejeo za ruzuku sijuwi watatowa mwezi wa4
 
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

kukuza uchumi.

Source: Taarifa ya habari Mlimani TV.

My take: Kama Waziri Mkuu wa uingereza amemsifia Rais Kikwete, hawa akina Richard Brunwick

wanatoka wapi kueneza majungu na uchocheza katika mitandao?

Wamuulize Waziri mkuu wao awape ukweli badala ya kuzusha mambo.

Waziri Mkuu wao naye msanii kama Kikwete, kilemba cha ukoka muhimu.Wewe unajua diplomasia ni nini? Hata Idi Amin alipewa uenyekiti OAU kwa sababu ya diplomasia.
 
we unaonaje? huyo richard na wenzake wameongea uongo?

Ndiyo. Hao ni makuwadi wa wapinga maendeleo ya Watanzania.

Wametumia mitandao kumwaga upupu wa kishetani dhidi ya JK na Tz yetu tukufu.

Nahisi wahuni hawa ni baadhi ya wana JF wanachama wa #$%&+, ... kutokana na mada zao za kizandiki.

Nikibahatika kuwafahamu,... nitawameza bila kuwatafuna.
 
kamsifia jinsi alivyotengeneza filam ya KILIMO KWANZA, kilimo kwanza watu wanakula mizizi huku trekta zikiozea Dodom....ama kweli ukiamua kuusifia mzoga wa mbwa lazima uanyie kwenye meno yake...meno yake ni meupe!

Dili limeshaiva, EL kama kawa kasema Magereza wasaidiwe kununua idadi wanayotaka. Wabongo vichwa maji jamaa anatuchezea kama watoto, zunguka nyuma uone hayo matrekta ni biashara ya nani! Na inasemekana matrekta yenyewe hayo yameshachakachuliwa sana baadhi ya vifaa, ole wenu magereza, uzuri matrekta yakigoma kazi watamalizia wafungwa! Ni suala la kusubiri na kuona kitakachojiri. Asalaam aleikum.
 
Back
Top Bottom