Wewe acha dharau surgery kama hizo Bongo zinafanywa na Intern na Registra( MD AMBAYE ANAFANYAKAZI KWENYE KITENGO HICHO LKN SI DAKTARI bingwa amekuwa trained kazini na kufanya kazi na mabigwa wa kitengo)kwasababu hawa ndiyo first on call kwenye dharura na wagonjwa wanarecover vizuri sio maji hata damu inapovuja kwa ghafula ndani ya ubongo ni Dharura na hao ndiyo wanaofanya.Na hao baadhi ya registra ninaowafahamu wameshakuwa nao madaktari bingwa baada ya kwenda kusoma nje ktk fani hiyo na mkuu aliowafundisha wakiwa maregistra ni Kinasha,kajanja marehemu na aliyekuwa mkuu wa Idara hiyo kabla ya Kinasha ambaye ni marehemu pia jina limenitoka kwasasa.hao ni muhimbili tu sijagusa KCMC ,BUGANDO NA MBEYA.Halafu Watanzania mkiambiwa Kenya taifa kubwa mnapiga kelele. Ona mambo safi kama haya. Operesheni nzito kama hizi zinafanyika hapa hapa. Hospitali za Tanzania ni bure kabisa. Ukilazwa ujue utakapotoka unatoka na ugonjwa mwingine. Unaenda hospitalia na malaria unatoka na Ukimwi. Sasa wapi na wapi.
Get well soon Rt. Hon Raila Amollo Tinga
Halafu Watanzania mkiambiwa Kenya taifa kubwa mnapiga kelele. Ona mambo safi kama haya. Operesheni nzito kama hizi zinafanyika hapa hapa. Hospitali za Tanzania ni bure kabisa. Ukilazwa ujue utakapotoka unatoka na ugonjwa mwingine. Unaenda hospitalia na malaria unatoka na Ukimwi. Sasa wapi na wapi.
Ameniimpress sana, ingekuwa hapa, chukulia ni JK au Pinda>>>>>kungezaliwa safari za marekani mpaka tungeshangaa.
Wewe acha dharau surgery kama hizo Bongo zinafanywa na Intern na Registra( MD AMBAYE ANAFANYAKAZI KWENYE KITENGO HICHO LKN SI DAKTARI bingwa amekuwa trained kazini na kufanya kazi na mabigwa wa kitengo)kwasababu hawa ndiyo first on call kwenye dharura na wagonjwa wanarecover vizuri sio maji hata damu inapovuja kwa ghafula ndani ya ubongo ni Dharura na hao ndiyo wanaofanya.Na hao baadhi ya registra ninaowafahamu wameshakuwa nao madaktari bingwa baada ya kwenda kusoma nje ktk fani hiyo na mkuu aliowafundisha wakiwa maregistra ni Kinasha,kajanja marehemu na aliyekuwa mkuu wa Idara hiyo kabla ya Kinasha ambaye ni marehemu pia jina limenitoka kwasasa.hao ni muhimbili tu sijagusa KCMC ,BUGANDO NA MBEYA.