Waziri Mkuu wa Kenya (Odinga) kumuomba Kikwete ahalalishe mirungi Tanzania

Wakuu tunakumbuka kwamba mirungi (miraa) ilipigwa marufuku hapa nchini kwa kuwa ni madawa ya kulevya. Mirungi hulimwa sana nchini Kenya na huwa inauzwa Somalia na Kenya kwenyewe na pia huwa inaingizwa Tanzania kiharamu kama yaingiavyo madawa mengine ya kulevya. Kwa kenya mirungi ni halali lakini kwa Tanzania ni haramu. Sasa kuna habari kwamba Waziri Mkuu wa Kenya Ndg. Raila Amollo Odinga ana mpango wa kumuomba JK aihalalishe nchini Tanzania ili Wakenya waomngeze soko la mirungi wanayosafirisha kihalali kwenda nchi za nje.

Mimi binafsi sijui kama mirungi ni madawa ya kulevya ama la. Lakini kama ilipigwa marufuku hapa nchini basi inaonekana ina matatizo kama Kuber. Sasa sijui Raila akimuomba JK ahalalishe na kweli ikahalishwa itakuwaje?

Kimbunga ungetutajia chanzo cha habari zako kuwa Raila alisemea wapi hizo habari ili tujiridhishe na kuchangia kwa mapana zaidi!!
 
Kikwete akiruhusu utafunaji wa Miraa au mirungi basi atakuwa amefanya kosa kubwa ktk utawala wake na Historia itamhukumu kwa kosa hilo! Miraa ina madhara makubwa kwa afya ya mtumiaji na hakuna utafiti wowote unaoonyesha faida za utafunaji wa miraa!
Madhara makubwa yatokanayo na utafunaji huo ni mtumiaji kutokwa na maji ya uzazi bila kuingiliana na mkewe bila ya kujitambua kuwa katokwa na maji hayo na tena bila kuhisi raha yoyote inayokuja kipindi hicho!

Madhara mengine soma hapa/
Mirungi
 
Halafu sasa wanasema eti ina madhara...
Je huko ulaya inakopelekwa ina maana hakuna madaktari bingwa wa kugundua madhara yaliyopo ktk Mirungi?
Then hawa madaktari wenu wanaokunywa Sprit day in day out ndio wenye kujua madhara?
Teh teh teh

aliye piga marufuku mirungi ni lyatonga mrema .,tena mwenyewe akapendekeza kwa rais .ikatungiwa sheria akapitishwa na bunge tena mwaka moja na nusu .baada ya kukatazwa kwa udikteta wa Mrema ,hakuna maoni ya wananchi wala utafiti wa madaktari ,
 
Kikwete akiruhusu utafunaji wa Miraa au mirungi basi atakuwa amefanya kosa kubwa ktk utawala wake na Historia itamhukumu kwa kosa hilo! Miraa ina madhara makubwa kwa afya ya mtumiaji na hakuna utafiti wowote unaoonyesha faida za utafunaji wa miraa!
Madhara makubwa yatokanayo na utafunaji huo ni mtumiaji kutokwa na maji ya uzazi bila kuingiliana na mkewe bila ya kujitambua kuwa katokwa na maji hayo na tena bila kuhisi raha yoyote inayokuja kipindi hicho!

Madhara mengine soma hapa/
Mirungi

kwa udhaifu uliopo sijui sijui wanani vile ? ni kwamba mirungi inaliwa kuliko ata kabla ya kupigwa marufuku . nakuhusu madhara yake ni kama kwa ilivyo pombe,sigara ,na salama zaidi mara 1000 ya konyagi ,gongo,na heri mara elfu kumi ya kubwia unga ,natumaini unajua kwa hakika kwamba vitu vyote hivyo vinatumika nchini kwa sanaa tuu ,sasa sijui kwanini unajaribu kumtahadharisha Kikwete .
 
Hapa tunazungumzia kuruhusu mihadarati! miraa ni haramu kama ilivyo gongo sasa kama unataka Rais aruhusu miraa kutafunwa basi mwambie na bangi, gongo, kokaini nk.pia iwe ruksa! au unamaana kama miraa itakuwa ruksa basi watumiaji ndo watapungua?

Hapa tunazungumzia afya ya wananchi wetu! hata sigara, pombe pia nashauri bunge letu tukufu lipige marufuku aidha kuwe na muda maalum wa kuuza pombe na sigara zisiuzwe holela tena hata mtoto mdogo sio shida kununua sigara au pombe!
Taifa gani hili lisilo na maadili? hatuko tayari kuona nchi yetu inakuwa kama Uholanzi ambayo kila kitu ruksa! bangi, kokaini,usenge, usagaji ruksa! haya ndio mnataka yatokee TZ!
 
Wakuu tunakumbuka kwamba mirungi (miraa) ilipigwa marufuku hapa nchini kwa kuwa ni madawa ya kulevya. Mirungi hulimwa sana nchini Kenya na huwa inauzwa Somalia na Kenya kwenyewe na pia huwa inaingizwa Tanzania kiharamu kama yaingiavyo madawa mengine ya kulevya. Kwa kenya mirungi ni halali lakini kwa Tanzania ni haramu. Sasa kuna habari kwamba Waziri Mkuu wa Kenya Ndg. Raila Amollo Odinga ana mpango wa kumuomba JK aihalalishe nchini Tanzania ili Wakenya waomngeze soko la mirungi wanayosafirisha kihalali kwenda nchi za nje.

Mimi binafsi sijui kama mirungi ni madawa ya kulevya ama la. Lakini kama ilipigwa marufuku hapa nchini basi inaonekana ina matatizo kama Kuber. Sasa sijui Raila akimuomba JK ahalalishe na kweli ikahalishwa itakuwaje?

Mkuu tena itakuwa poa sana hili jani wala sio baya kabisa mie natumia hili jani halina madhara yoyote kabisa na pia kama likiruhusiwa litaongeza uchumi wa nchi.Yale majani hayana tofauti na bia au soda.Mie binafsi kama utaniambia nchague vitu viwili kama vile Konyagi na Miraa/Mirungi/Gomba/Veve nitachagua Mirungi.Kama ikitokea itakuwa poa sana
 
Hapa tunazungumzia kuruhusu mihadarati! miraa ni haramu kama ilivyo gongo sasa kama unataka Rais aruhusu miraa kutafunwa basi mwambie na bangi, gongo, kokaini nk.pia iwe ruksa! au unamaana kama miraa itakuwa ruksa basi watumiaji ndo watapungua?

Hapa tunazungumzia afya ya wananchi wetu! hata sigara, pombe pia nashauri bunge letu tukufu lipige marufuku aidha kuwe na muda maalum wa kuuza pombe na sigara zisiuzwe holela tena hata mtoto mdogo sio shida kununua sigara au pombe!
Taifa gani hili lisilo na maadili? hatuko tayari kuona nchi yetu inakuwa kama Uholanzi ambayo kila kitu ruksa! bangi, kokaini,usenge, usagaji ruksa! haya ndio mnataka yatokee TZ!

nimesema kuna udhaifu wa kusimamia sheria kwenye nchi hii,hivyo ata pamoja na miraa kuwa ni haramu ,bado inaliwa zaidi ya wakati ilipo pigwa marufuku ,kama ilivyo gongo ,bangi,cocoine ,kwa hiyo ata kumtahadharisha Kikwete asiruhusu ni kazi bure ,kwani chini ya uongozi wake ni kama imesharuhusiwa,
 
Ogdinga kashamjibu Miguna kwanza?....

Mkuu Miguna Miguna anajibiwa kwa kufanyiwa fujo na si kwa hoja!!!! Unakumbuka alienda Mombasa wakamvua kofia na kiatu baada ya vijana kumfanyia fujo?
 
Back
Top Bottom