Waziri mkuu wa India Narendra Modi anakuja Tanzania: Vitu 7 huenda hukuvijua kuhusu mtu huyu

sijakuelew kuhusu huyo mchina mkuu

thx
Huyu jamaa Anaitwa Zhao Zhiyang. Ni moja ya viongozi wenye kuheshimika sana china japo karibu nusu ya maisha yake yaliishia kifungoni na kufichwa from public. Maana kwa uwezo na ushawishi wake alikuwa na uwezo kwa kutoa kauli ikaipasua china vipandevipande maana aliamini katika Democracy kwa kiasi flani. Chanzo cha kufungwa(kifungo cha nyumbani hadi kufa 17 Jan 2005) ilikuwa ni kitendo chakupingana na serikali yake juu ya uamuzi wa Kutumia nguvu ya kivita dhidi ya waandamaji wanachuo ambapo inasemekana waliuwawa wanafunzi kibao (
Tiananmen Square protests
)

Historia yake ilipigwa marufuku china(Main land). Ila alikwa mwanasiasa. alivyopropose kushugulikia watoto wa wanasiasa na walarushwa pamoja na mambo mengine alipigwa zengwe na kufukuzwa Chamani. Aliishi maisha ya shida sana. akawa anafanya kibarua huku anaishi getto yye na mke wake na begi moja la nguo ndio kitanda na meza ya kulia. Mambo yalipowagomea walimtafuta na kumpata wakamrudisha kwenye chama kama kiongozi. Baadae akachaguliwa kuwa mkuu wa Chama jimbo la Sichuan. Hapo ndipo alipoonyesha uwezo wake na mipango ya kiuchumi iliyobadili jimbo lilikuwa masikini vibaya watu wakifa kwa njaa na kuwa heri. Hicho kitu kilimpa credit baadae akawa Katibu wa Chama na waziri Mkuu china Huku akiandaliwa kuwa Rais Baada ya Deng Xioping hadi alipopishana misimamo na viongozi wake. Yeye ndie aliyekuwa archtect wa kuplan mikakati ya kiuchumi huku ajulikani sana. EPZ coastral business hubs zote zilikuwa mipango yake.

Habari zake zilivuja kutoka kwenye kitabu cha siri alichojirekodi akiwa kifungoni home. Kitafute
images
 
Umesahau jambo moja....ana kashfa ya kushiriki kwenye mauaji makubwa ya Waislam yaliyofanyika kwenye jimbo lake la Gujarat.

Yeye ni mwanachama wa chama cha kihafidhina cha Wahindu.

Modi hana mke wala mtoto.
 
1:Hayo yapo na yanaweza kuwa kweli au sio kweli(KASHFA) lakn mahakama 2013 ilithibitisha hakuwa na hatia.

2:ana mke anaitwa Jashodaben Narendrabhai Modi aliyekuwa engaged nae akiwa 13 years na baadae kumuoa akiwa 18years. Wazai wake walipanga hii kitu wakiwa watoto japo alikaa nae miaka miwili baadae akahama mji. Kutokana na mambo yake ya kidini, alikfanya hii kitu siri. Na 2014 alipohitaji kugomea aliweka wazi kuwa anamke kwa jina hapo juu.

Lakini kama unafahau zaidi unaweza kuweka hapa jamvini kwenye jukwaa hili huru. Hapo kulingana na vyanzo mbalimbali.
 
Anakotupeleka Magufuli ni huko huko ila wasiopenda maendeleo wanalalamika. Hii nchi yaani watu wanapenda ujinga, yaani mtu anaona faida kuchekewa na JK huku akidanganywa kuwa sie masikini na utajiri wote huu tulionao. Wabongo yabidi tubadilike tena haraka sana.
 
Namuona Magufuli akitupeleka hukohuko
Karibu kiongozi kwa kiongozi mahili na shupavu kama wewe.

Mungu awalinde
Sio wale wanaoshupalia waziri wa Israel atusaidie nini sisi Watanzania.
Mkuu umepotea sana, ulikuwa wapi kiongozi?
 
1:Hayo yapo na yanaweza kuwa kweli au sio kweli(KASHFA) lakn mahakama 2013 ilithibitisha hakuwa na hatia.

2:ana mke anaitwa Jashodaben Narendrabhai Modi aliyekuwa engaged nae akiwa 13 years na baadae kumuoa akiwa 18years. Wazai wake walipanga hii kitu wakiwa watoto japo alikaa nae miaka miwili baadae akahama mji. Kutokana na mambo yake ya kidini, alikfanya hii kitu siri. Na 2014 alipohitaji kugomea aliweka wazi kuwa anamke kwa jina hapo juu.

Lakini kama unafahau zaidi unaweza kuweka hapa jamvini kwenye jukwaa hili huru. Hapo kulingana na vyanzo mbalimbali.

Japo mahakama haikumtia hatiani lakini kashfa hiyo ya mauaji ya Waislam katika jimbo la Gujarat mwaka 2002 ni sehemu ya historia yake kuwa alichochea mauaji hayo na kuwa hakufanya vya kutosha kuwaokoa Waislam ambao ni wachachae.

Kuhusu mke wake, huyu Mama ni mke picha tu toka alipoolewa akiwa mtoto, na ata haonani nae. Kwa miaka yote mke huyo jina anaishi na kaka yake na hana ata nafasi ya kuwa na mazungumzo na Modi,hali yake ya maisha ni ya chini sana na hana ata usafiri.Ambacho alikataa ni kupewa talaka rasmi hivyo kabaki mke kivuli.
 
Na hivyo Modi hana mtoto yeyote kwa sababu hana mahusiano na mkewe kivuli.
unaweza kuwa sawa. Sina neno la kuongeza
 
Huyu Alieandika Huu Uzi Kwanza Bila Shaka ni Mhindi. Na Ndo Mana Yuko Hapa Kumtetea.. Wahindi ni Wabaguzi Sana. Hilo la Mauaji ya Waislam ni Nimelisikia Mapema Sana.

Mimi Nataka Nione Akichukua Hatua za Mathubutu za Kupambana na Ubaguzi au Udharirishaji wa Watu Weusi Huko Kwao. Hata Hapa Bongo ni Shida tu Ila Wahindi Wananyanyasa Sana Watanzania.

Mimi Nashauri Tumpokee Kwa Mabango, Mabango Yenye Ujumbe wa Kuonyesha Kughadhibishwa na Unyanyasaji wa Watu Weusi Wakiwemo Watanzania. Wahindi Tumewapa Mamlaka Sana Kwenye Nchi Hii. Tumekosea Sana.
 
Mtu mmoja anapande nyingi na na ni hasi na chanya. Hata wewe unavyotaka kuulink uzi huu na uhindi au ubaniani ni element za ubaguzi huohuo.
Iwe muanzisha mada ni muhindi au mchina, vitu hivi vinavyojadiliwa vipo na vinamaana kwetu sana kuliko hayo madhaifu aliyonayo au aliyowahi kuwa nayo.
Sijaui Muhindi anamnyanyasa vipi mtanzania kama sheria zipo. Kama wananunua watanzania kukuhujumu wewe unaenyanyaswa, basi hapa shida ni sisi wenyewe. Kwa nini Canada au UK hawalii kilio hiki
 
Ninacholenga Hapa Watanzania Tusishangilie tu Ujio Wake au Sijui Kuwa Kiongozi Alietukuka. Hizi Habari za Udharirishaji Kwa Wanafunzi Wanaosoma Huko India Hujazisikia? Ndo Nikashauri Kwamba, Lazma Tuonyeshe Ghadhabu Zetu na Ujio Wake Uwe ni Fursa ya Kukemea Jambo Hili.

Watanzania Wengi Hasa wa Wakipato cha Chini Wananyanyaswa na Wahindi, Ila Kwa Kutojua Haki Zao na Hata Wakichukua Hatua za Kuripoti Polisi.. Swala Hili Huisha Bila Haki Stahiki Kupatikana.
 
Huyu jamaa Anaitwa Zhao Zhiyang. Ni moja ya viongozi wenye kuheshimika sana china japo karibu nusu ya maisha yake yaliishia kifungoni na kufichwa from public. Maana kwa uwezo na ushawishi wake alikuwa na uwezo kwa kutoa kauli ikaipasua china vipandevipande maana aliamini katika Democracy kwa kiasi flani. Chanzo cha kufungwa(kifungo cha nyumbani hadi kufa 17 Jan 2005) ilikuwa ni kitendo chakupingana na serikali yake juu ya uamuzi wa Kutumia nguvu ya kivita dhidi ya waandamaji wanachuo ambapo inasemekana waliuwawa wanafunzi kibao (
Tiananmen Square protests
)

Historia yake ilipigwa marufuku china(Main land). Ila alikwa mwanasiasa. alivyopropose kushugulikia watoto wa wanasiasa na walarushwa pamoja na mambo mengine alipigwa zengwe na kufukuzwa Chamani. Aliishi maisha ya shida sana. akawa anafanya kibarua huku anaishi getto yye na mke wake na begi moja la nguo ndio kitanda na meza ya kulia. Mambo yalipowagomea walimtafuta na kumpata wakamrudisha kwenye chama kama kiongozi. Baadae akachaguliwa kuwa mkuu wa Chama jimbo la Sichuan. Hapo ndipo alipoonyesha uwezo wake na mipango ya kiuchumi iliyobadili jimbo lilikuwa masikini vibaya watu wakifa kwa njaa na kuwa heri. Hicho kitu kilimpa credit baadae akawa Katibu wa Chama na waziri Mkuu china Huku akiandaliwa kuwa Rais Baada ya Deng Xioping hadi alipopishana misimamo na viongozi wake. Yeye ndie aliyekuwa archtect wa kuplan mikakati ya kiuchumi huku ajulikani sana. EPZ coastral business hubs zote zilikuwa mipango yake.

Habari zake zilivuja kutoka kwenye kitabu cha siri alichojirekodi akiwa kifungoni home. Kitafute
images

Thank you sana mkuu for this valuable post, nimeelimika

I shall buy that 'gold' book
 
Back
Top Bottom