Waziri mkuu Poland: Tujiandae kwa lolote baada ya shambulio la kigaidi Moscow

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,497
99,296
Waziri mkuu wa poland, Donald tusk ameviamrisha vyombo vya usalama nchini Poland (POLISH SECRET SERVICE) kujiandaa ipasavyo kwa matokea yoyote ya kutisha ya kikanda baada shambulio la kigaidi mjini Moscow usiku wa Jana.

Katika kauli yake hiyo, hakutamka Wala kuonesha Kusikitika au kulaani shambuliz Hilo la kigaidi kwa serikali ya URUSI na raia wake.

Screenshot_20240323-202354.png
 
Waziri mkuu wa poland, Donald tusk ameviamrisha vyombo vya usalama nchini Poland (POLISH SECRET SERVICE) kujiandaa ipasavyo kwa matokea yoyote ya kutisha ya kikanda baada shambulio la kigaidi mjini Moscow usiku wa Jana.

Katika kauli yake hiyo, hakutamka Wala kuonesha Kusikitika au kulaani shambuliz Hilo la kigaidi kwa serikali ya URUSI na raia wake
Mkuu ametoa pole na risala za rambirambi kwa warusi na ndugu wahanga lakini siyo kwa utawala wa Urusi. Na pia viongozi wote wa ulaya wametoa pole na rambirambi hivyo hovyo kwa warusi na siyo kwa utawala wa urusi.
 
Poland ni kama theluthi tu ya Tanzania kwa ukubwa ila GDP yake ni katribia nusu ya Ruzzia, ni taifa tajiri kushinda hata Urusi.
Kama Uturuki ambayo nchi moja wapo yenye nguvu za kiuchumi ulimwenguni haifikii nusu ya uchumi wa Russia itakuwa hiyo takataka inayo itwa poland?

Ebu tuwekee GDP yake hapa , GDP ya Urusi mpaka sasa ni $2.2tirion kwa hiyo unataka kuniambia kuwa poland ana GDP ya 1$ tirion?

Poland inazidiwa mpaka na Ukraine.
 
GDP ya Russia ni $ 1.88 trillion, wakati ile ya Poland ni kama $ 700 bn. Yoda yupo sahihi kusema GDP ya Poland ni karibu nusu ya Russia's GDP.

Russian GDP growth reaches 3.6% in 2023 — statistics
Business & EconomyFebruary 07, 21:58
The GDP deflator index in 2023 against 2022 prices moved up by 6.3%
MOSCOW, February 7. /TASS/. According to the first estimate, Russia's GDP increased by 3.6% in 2023, the national statistical service Rosstat reports.

The GDP figure in current prices totaled 171.041 trillion rubles ($1.88 trillion). The GDP deflator index in 2023 against 2022 prices moved up by 6.3%.

The national GDP lost 1.2% in 2022.
Russian GDP growth reaches 3.6% in 2023 â statistics
 
Waziri mkuu wa poland, Donald tusk ameviamrisha vyombo vya usalama nchini Poland (POLISH SECRET SERVICE) kujiandaa ipasavyo kwa matokea yoyote ya kutisha ya kikanda baada shambulio la kigaidi mjini Moscow usiku wa Jana.

Katika kauli yake hiyo, hakutamka Wala kuonesha Kusikitika au kulaani shambuliz Hilo la kigaidi kwa serikali ya URUSI na raia wake.

View attachment 2942920
Kuna siku poland itakuja kuwa target kutokea moscow ni suala la muda tu
 
Siyo vyepesi, uwezo huu Rusia atatoa wapi? Rusia amebaki kutishia NATO kwa Nyuklia ambazo wao wanazo, siku akijaribu kurusha kombora ndo mwisho wake , mwanzoni kwa vita dhidi ya Ukraine alisema nchi yoyote itakayomsaidia Ukraine itapigwa lakini USA, UK, France, Germany, Canada zimetoa silaha nyingine sana na wataalamu lakini Rusiacameogopa kufanya chochote, wamekata bomba la Nord 1 amebakia kulaumu na kama siyo msada wa NATO hasa USA Ukraine angekuwa ameshapiga vibaya sana
 
Poland huwa wamekataa kabisa kuingiliwa na wakimbizi wa kiislamu, hivyo kwao hamna uwezekano wa kutendeka matukio ya ugaidi.
 
Waziri mkuu wa poland, Donald tusk ameviamrisha vyombo vya usalama nchini Poland (POLISH SECRET SERVICE) kujiandaa ipasavyo kwa matokea yoyote ya kutisha ya kikanda baada shambulio la kigaidi mjini Moscow usiku wa Jana.

Katika kauli yake hiyo, hakutamka Wala kuonesha Kusikitika au kulaani shambuliz Hilo la kigaidi kwa serikali ya URUSI na raia wake.

View attachment 2942920
wakati Urusi anavamia Ukraine Putin aliona ni sw kuua watoto na wanawake wa Ukraine ili tu kuionesha dunia yeye ni mkubwa , hivyo hivyo Putin na urusi yake hawastahir pole au kulaani matumio yoyote ndan ya Urusi sabab wao walishaonesha kutojali maisha ya wengine
 
Kama Uturuki ambayo nchi moja wapo yenye nguvu za kiuchumi ulimwenguni haifikii nusu ya uchumi wa Russia itakuwa hiyo takataka inayo itwa poland?

Ebu tuwekee GDP yake hapa , GDP ya Urusi mpaka sasa ni $2.2tirion kwa hiyo unataka kuniambia kuwa poland ana GDP ya 1$ tirion?

Poland inazidiwa mpaka na Ukraine.
unavyojadli mambo kama vile ubongo umeacha shuleni
 
Back
Top Bottom