Hata sisi raia pia tuna haki ya kujitetea, ukiona jeshi la wapumbavu linakupiga na wewe jitete kufa kiume. Pigana nao mpaka mpumzi ya mwisho. Ukiwaona polisi wanakuja kukukamata basi ujiandae na mapigano usikubali kupigwa.
Pinda ni mpumbavu :glasses-nerdy:
Kufuatia Mh.Waziri Mkuu Pinda kutoa kauli bungeni kuwa watu kama hawa fuati sheria wakipigwa wasilalamike,ni heri akawaomba radhi watanzania na kuifuta kauli yake hiyo kwa sababu zifuatazo:
1.Katiba ya nchi hii haisemi mtu akishindwa kufuata sheria apigwe,bali ashtakiwe mahakamani.
2.Hakuweka wazi watu hao wapigwe kwa kufuata utaratibu gani ili kuepusha vifo,kuvunjwa viungo nk,kwani hata wale wanafunzi mashuleni wanaopigwa viboko,kuna utaratibu maalumu wa kutekeleza adhabu hiyo.
3.Hakuweka wazi kama ndiyo kauli na maagizo ya serikali au ni kauli iliyotokana na utashi wake mwenyewe. Kama ni kauli ya serikali,ni kupitia waraka gani?
4.Kwakuwa hata viongozi nao huwa wakati mwingine wanatukosea wananchi,je pia nao wapigwe au ni kwa raia tu?
5.Haja weka wazi kama kupigwa kwa Dr.Ulimboka,Absalom Kibanda,Daudi Mwangosi ni utekelezwaji wa maagizo yake au laa.
6.Hakuweka wazi kama hao wapigaji watalindwa vipi,maana tunakaa nao huku huku mitaani katika nyumba za kupanga,je kama raia wataamua kuwafanyia hujuma kwa kulipiza kisasi na hata kuwanyima hata hizo nyumba za kupanga na mambo mengine ya kijamii.
Naomba kuwasilisha.
NB:Naomba kutoa tahadhari,haya niliyo yaandika ni mawazo yangu binafsi,na sns lengo la kutaka kuchochea watu wafanye niliyoyasema,bali ni kutaka kutoa tahadhari kwasababu za kibinadamu,baadhi ya matamko yakitolewa na kiongozi wa juu wa serikali hupewa tafsiri pana.
kwa upumbavu wao wanafumba macho na kwa upumbavu wa polisi watekeleza upumbavu iliotolewa na waziri mkuu mpumbavu.
Nilijua tu hii kauli itakuja kumtesa sana pinda. Hivi angekaa kimya ingekuwaje?

Anatafakari namna ya kuja na hoja ya kuomba radhi kutokana na kauli yake,ingawa hatasema SAMAHANI bali ataelezea namna ambavyo amenukuliwa vibaya kwa matamshi yake.
wagongwe tuuuuuuuuu
Wasema hivi sababu unalindwa na hili jeshi.Lakini kumbuka siku wakichoka itakula kwako.Usipende kutoa neno lisilofaa kwa watanzania wa kawaida maana ndiyo wanaodhulimiwa haki zao za msingi.Kuna mfalme kwenye biblia hakuomba utajiri bali hekima ili aweze kuwaongoza vyema watu wake.PM wetu ni mkristu tena mkatoliki alitakiwa kuomba hekima badala ya utajiri au cheo.wagongwe tuuuuuuuuu