Waziri Mkuu afukuzwa kutoka mkutano baada ya kujaribu kumtunishia misuli mwenyekiti wa AU

Afternoon Ab-Titchaz, Huyu naye ni vipi. mukutano ilikuwa na lengo tofauti naye PM akapeleka mengine wasiweze kumstahimili.
 
Last edited by a moderator:
Wakenya wana misimamo yao, na nidhamu ya uoga kwao mwiko! Lol
 
Afternoon Ab-Titchaz, Huyu naye ni vipi. mukutano ilikuwa na lengo tofauti naye PM akapeleka mengine wasiweze kumstahimili.

Heshima yako Kabaridi,

....mbona hii habari ni ya kitambo tu sana? Ama nd'o mtindo wako wa siku hizi kufukua nyuzi za tenee?...:biggrin:

...Anyway Agwambo had the last laugh on this matter...Gbagbo wa KO'd and is now a resident at The Hague na Ping
nadhani yupo yupo tu. Meanwhile Raila remains the PM of Kenya...au sio?

Swadaktaa.
 
Last edited by a moderator:
The AU has been for a long time the safe haven for despots that have plundered and abused Africans. Mr. Ping expected RAO to go slow on Laurent Gbagbo. We all now how that story ended.

article-1375722-0B957C7900000578-135_636x435.jpg
 
Heshima yako Kabaridi,

....mbona hii habari ni ya kitambo tu sana? Ama nd'o mtindo wako wa siku hizi kufukua nyuzi za tenee?...:biggrin:

...Anyway Agwambo had the last laugh on this matter...Gbagbo wa KO'd and is now a resident at The Hague na Ping
nadhani yupo yupo tu. Meanwhile Raila remains the PM of Kenya...au sio?

Swadaktaa.

Aasii!! hivi huyu Raila ndio kiboko ya wengi. Wengi wanakuja wakianguka katika mieleka na PM lol. Hakuna habari ya kale au ya hivi karibuni ikija wakati wa kutathmini mwanasiasa. Ila nina kubali PM is a force to reckon with..Literally Mkuu.

Mekatilili Sijui tumtume Raila DRC kwa kabila au Rwanda kwa kagame najua wakipuuza kumsikia lol watajipata uholanzi.
 
Heshima yako Kabaridi,

....mbona hii habari ni ya kitambo tu sana? Ama nd'o mtindo wako wa siku hizi kufukua nyuzi za tenee?...:biggrin:

...Anyway Agwambo had the last laugh on this matter...Gbagbo wa KO'd and is now a resident at The Hague na Ping
nadhani yupo yupo tu. Meanwhile Raila remains the PM of Kenya...au sio?

Swadaktaa.

"Tenee" Takes me way back! Nice one!
 
Ab-Titchaz,

Ninachojua nikuwa Raila ni mkaidi maana alikaidi protokali ya AU...Sasa hiyo ndio tatizo hata protokali ya AU anakaidi
 
Last edited by a moderator:
Ab-Titchaz,

Ninachojua nikuwa Raila ni mkaidi maana alikaidi protokali ya AU...Sasa hiyo ndio tatizo hata protokali ya AU anakaidi

Mkuu,

to be sincere with you I have less regard for that thing called AU...countries are better off as regional
blocs than in this reckless body. Kwa hivyo hata hiyo protokali yao sioni umuhimu wake iwapo hawaongei
juu ya kukandamizwa kwa haki wa waafrika na baadhi ya hawa mabepari wanaojiita ma-Rais.

That's all I will say for now on that matter.

P.S. Raila ni mkaidi kivipi?
 
Not mkaidi in that sense....Lol he is a sleek outfit Mkuu...... I once said raila is a fiery political operative, yaani he is in a class of his own and his recalcitrance at addis is often admirable.
 
Sijui tumtume Raila DRC kwa kabila au Rwanda kwa kagame najua wakipuuza kumsikia lol watajipata uholanzi.

Kibaridi, kwenye red, hiyo match naomba nistue, hata kwa kiingilio nitakopa bank!
 
Heshima zako mkuu, tunalalama kuhusu DRC na kagame wakati tunayo suluhu. Tunaweza kutuma PM Raila our secret weapon lol to kigali or kinsasha anytime.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom