Jotojiwe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 335
- 130
Ndugu zangu wana jf kama mlimsikiliza waziri jana ktk kile kipindi cha dakika 45 itv pengine ulipata kusikia akikiri yakua lipo kundi lenye uwezo wa kifedha nje ya serikal ambali alina mamlaka lakini kwa kutumia fedha zao wanakua na mamlaka na maamuzi ktk serikali, yani kiufupi ni kwamba uongoz wa nchi hii sio wa hawa viongoz rasmi walioko madarakan bali niwa hawa wengine wenye nguvu za fedha na utashi wa kueza kuivuruga serikali rasmi.
Nawakilisha hoja anaye pinga basi atupatie tafsiri ya ile kauli yake.
Nawakilisha hoja anaye pinga basi atupatie tafsiri ya ile kauli yake.