Waziri Membe ashiriki msiba wa mama mzazi wa Dk. Hoseah

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Kamillius Membe ameshiriki kikamilifu katika kuomboleza msiba wa mama mzazi wa Dk.Hoseah ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru.

Ni kawaida yake Waziri Membe kushiriki kikamilifu katika matukio ya kijamii.

Amekuwa akipongezwa kwa moyo wake wa kusaidia jamii bila kujali cheo,umri,kabila,rangi au hali.

Amenukuliwa mmoja wa waombolezaji akisema kuwa hii ni mara yake ya 29 anakutana katika matukio tofauti ya kijamii na Mh.Membe na amekuwa kivutio cha watu kila aonekanapo mbele ya macho ya jamii.

Waziri Membe baada ya kufika msibani alisaini kitabu cha waombolezaji na kisha kwenda kutoa rambirambi na salamu za pole kwa waliokuwa msibani.Hivi ndivyo jamii ipendavyo.

Inapenda kiongozi anayejishusha kwa wananchi na jamii yote kwa kushiriki masuala yao iwe katika shida au raha.

KAMWAMBIE HUYO MUME WAKO MEMBE URAIS HAPATI NG'OO. AKAOMBE URAIS KWA NDUGU ZAKE WAPALESTINA. Hatumhitaji Rais Mnafiki.Aliilan Israel.
 
Na kule kwa yule mtoto Albino aliyekatwa mikono na mguu alienda kushiriki mazishi au kwa vile hakukuwa na kitabu cha kusaini? Acheni utoto nyie wapambe nuksi, kwa hiyo kwa sababu hizo anafaa kuwa kiongozi? Kwani mshaona kuwa hili sio taifa la maendeleo bali la misiba na maradhi tuu?
 
So what? Very Poor Popularity. Ni ujinga na upumbav kuja hapa JF kumsifia mtu kwa kushiriki misiba ya watu. Kesho
mtu mwingine atakuja hapa kumsifia Membe namna anavyotabasamu.
 
Jinga Tu Et Mara 29 Yaani Tangu Awe Mbunge Katika Majanga Mengi Yanayotokea Et Kahudhuria Mara 29 Tu!! Basi Huwa Hahudhurii Mengi,kwa Albino Mbona Hakwenda?
 
Back
Top Bottom