Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,571
- 2,201
- Thread starter
- #181
Nani ni much know hapa.Hapa kuna either ujinga au u much know!
Nani ni much know hapa.Hapa kuna either ujinga au u much know!
Kweli ndugu yangu, wanasiasa wanapoenda kukagua miradi , inabidi wajue kuwa miradi mingi Huwa inandeshwa according to Conditions of Contract, ambayo huwa inaweka wazi, majukumu ya kila muhusika, na njia sahihi za kuchukuliwa iwapo contractor au Engineer au Client kashindwa kutimiza wajibu wake, na wala sio tu, kwa kiongozi kuja site na kutoa maamuzi/ maagizo bila kuzingatia Condition of Contract inasemaje! Kwani unakuta ,maagizo mengine ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi ili kufurahisha watu, yanaweza leta hasara baadae Kwa upande wa Client/ Serikali kutokana na kutozingatia mambo yote muhimu kulingana na Conditions of Contract ambayo ni kama sheria na muongozo Mama kwenye miradi yoyote.....watz tujaribu na tuendelee kuendesha mambo kulingana na sheria na SI vinginevyo. Na ni jambo la ajabu wakati mwingine, mara nyingi utasikia kiongozi kaenda na kutoa maagizo kwenye mradi wenye tatizo, labda kufukuza au kukatisha mkataba wa contractor,wakati Engineer/ consultant alikuwepo,na angeweza kutoa maamuzi tatizo Hilo mapema, unless anakuwa alishindwa kufanya hivyo akijua kwamba matatizo yaliyopo ktk mradi yanakuwa yamechangiwa kiasi kikubwa na Client na sio Contractor au Contractor ni mtu mzito' ,hivyo hata akiboronga, Engineer/ Consultant amekuwa, akipata 'kigugumizi' cha kutolea maamuzi magumu.... kaazi kwelikweliUko sahihi Waziri hapaswi kutoka huko na kuvunja mkataba wa Mkandarasi na taasisi yoyote ya serikali maana kila kitu kimeelezwa niani ya mkataba na madhara yake nafikiri tuendelee kukemea utaratibu huu usiofaa wa kijima na kamwe haupaswi kushangiliwtu umeshatugharimu pesa nyingi sana.
Ndio maana tunamtaka Mchengerwa awasafisheKweli ndugu yangu, wanasiasa wanapoenda kukagua miradi , inabidi wajue kuwa miradi mingi Huwa inandeshwa according to Conditions of Contract, ambayo huwa inaweka wazi, majukumu ya kila muhusika, na njia sahihi za kuchukuliwa iwapo contractor au Engineer au Client kashindwa kutimiza wajibu wake, na wala sio tu, kwa kiongozi kuja site na kutoa maamuzi/ maagizo bila kuzingatia Condition of Contract inasemaje! Kwani unakuta ,maagizo mengine ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi ili kufurahisha watu, yanaweza leta hasara baadae Kwa upande wa Client/ Serikali kutokana na kutozingatia mambo yote muhimu kulingana na Conditions of Contract ambayo ni kama sheria na muongozo Mama kwenye miradi yoyote.....watz tujaribu na tuendelee kuendesha mambo kulingana na sheria na SI vinginevyo. Na ni jambo la ajabu wakati mwingine, mara nyingi utasikia kiongozi kaenda na kutoa maagizo kwenye mradi wenye tatizo, labda kufukuza au kukatisha mkataba wa contractor,wakati Engineer/ consultant alikuwepo,na angeweza kutoa maamuzi tatizo Hilo mapema, unless anakuwa alishindwa kufanya hivyo akijua kwamba matatizo yaliyopo ktk mradi yanakuwa yamechangiwa kiasi kikubwa na Client na sio Contractor au Contractor ni mtu mzito' ,hivyo hata akiboronga, Engineer/ Consultant amekuwa, akipata 'kigugumizi' cha kutolea maamuzi magumu.... kaazi kwelikweli
Hongera sana Mchengerwa safi sana sana
Very trueI spport Waziri Mchengelwa. Wizara hii ilimuhitaji mtu wa aina yake. Keep on Mchengelwa. Mwanasheria msomi.
Mchengerwa
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja,
Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Omary Mchengerwa inaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi huko vijijini.
Kwasasa Tanzania inahitaji Viongozi aina ya huyu kijana ambaye ni jasiri na shupavu asiyependa sifa,kujisifia Wala kumwonea mtu, mkweli na mnyenyekevu kwa watu wote.
Mchengerwa anafanya maamuzi kama kiongozi bila kujali nini kitatokea nani atachukia au huyu nae ni mteule wa Rais ila tu kulinda Tanzania,Watanzania na rasilimali zao.
Tanzania tumekuwa na Viongozi wengi wasiopenda lawama wala kulaumiwa wenye kupenda kusifiwa na kufurahiwa na kila mtu hata kama ni mkosaji.
Tanzania ya leo inahitaji vijana jeuri na shupavu aina ya Waziri Mohammed Mchengerwa(MOM)
Kwamsiofahamu hii kampuni ya Nyanza Road Works Limited ni mfupa uliowashinda mawaziri wengi kwani inakazi sizizoisha karibu katika kila kona ila ilikuwa nani amfunge paka Kengele?
Kazi inaendelea Vizuri, Mchengerwa chapa Kazi Taifa linakufuatilia kwa ukaribu sana ongeza gia twende mbele.
===
Ndio maana tunamtaka Mchengerwa awasafishe
Huyo anapeleka rejesho kwa mazaMbona shemeji yake Abdul anapiga pesa za umma na haguswi na mtu
Mkwe anaruhusiwa kuingilia Wizara zingineYeye ni waziri wa Tamisemi, Mamlaka yake yanaishia kwenye Kazi za Tamisemi, Nyaza atafanya kazi zake na Wizara zingine.
Anaringia mukwe🤠