waziri kiongozi ameikana kauli ya mkubwa wake

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Kitendo cha waziri kiongozi wa zanzibar kusema hadharani kwamba tanzania tunaibiwa katika mgodi wa tanzanite imetofautiana na mkuu mwenzake katika wizara ya madini ambapo alisema tanzania inapata inachostaili kupata,
je hii inamaanisha serikali haina takwimu au nani amekurupuka?
je kama yeye ameona tunaibiwa amechukua hatua gani mpaka sasa
 
Wanaujua Ukweli ila wanasepa kusema ukweli............................
ila huyo Mzenji amepasua Ukweli.
 
Back
Top Bottom