Wakuu,Nimepokea taarifa muda mfupi kutoka Bukoba kuwa kumetokea ugomvi katika kikao cha kamati ya siasa ya wilaya ya Bukoba cha CCM ambapo kagasheki ambaye ni mbunge wa huko na naibu waziri wa mambio ya ndani amevaana live na katibu wa CCM wa wilaya hiyo aitwaye Shamte.
Sababu ya viongozi hao kukunjana mashati ni baada ya shamte kudai katika kikao hichjo kuwa kasgasheki anaendesha mambo yake ya kisiasa bila kukuhusisha chma badala yake anawatumia wapambe wake wa mitaani hali aliyodai kuwa inasababisha chama kushindwa kutekeleza ipasavyo ilani yake
kwa mjibu wa m,toa taarifa ambaye ni mmoja wa walioudhuria kikao ni kuwa shamte aliendelea kueleza kuwa yote anayoyafanya kaasgasheki anafanya kwa lengo la kujikweza kwa wapiga kura badala ya kusaidia chma
aliomba abadilike mara moja,
hata hivyo mheshimiwa huyo alinyanyuka kwenye kiti chake na kumkunja shamte huku akimtolea maneno makali kwamba amekuwa akimpigia simu na kumuomba fedha na kwa kuwa alimyima ndiyo maana anasema hayo.
aliomba kiongozi huyo ahamishwe mara moja vinginevyo atagombea ubunge katika jimbo hilo tena.
ugomvi huo ulisuruhishwa lakini taarifa nilizopata hivi punde ni kuwa shamte amefutwa kazi