wewe ndiyo mwehu mara 100 ya Magufuri a focus kujenga barabara!?, hizo barabara zina pita wapi?
Nilishasema tena na tena, Watu ambao hawajasomea Ujenzi na zaidi zaidi hawajasomea vitu kama Urban Planing na mwisho kumalizia kwa kusema mtu ambaye hajasomea Road design, ni heri ukanywe maji na ulale salama.
Nashukuru kwa wale ambao wanachangia na unaona kweli ingawa hajasomea haya mambo, lakini kichwani zinachemka.
Mtu anakuja na kusema kuwa hapo kwenye jengo, basi barabara ipindishwe, khaaaa!!!!!
Kwenye barabara za mijini na mitaa, huwa ni zaidi ya BARABARA kama nyie mnavyoona.
Kuna siku, huko pembeni ndiyo kutajengwa Drinage Systems za maji machafu kutoka majumbani na ya mvua kutoka barabarani na kwenye majumba ya watu. Hii inapunguza maji kuzagaa ovyo na kutengeneza mazalia ya mbu.
Huko pembeni, kunatakiwa kuwe na Mabomba ya Nyaya za umeme, simu, Internet, TV Cables etc. Haya mabomba, yanatakiwa kuna umbali fulani kutoka bomba moja kwenda jingine.
Huko pembeni, siku moja itabidi kuweka bomba la NJANO, yes, bomba la GAS. Hili nalo linataka umbali kadhaa kutoka kwenye mambomba mengine na umbali kadhaa kutoka mwisho wa lane za barabara.
Siku moja, wataweka bomba kubwa sana la maji kutoka Mlandizi/Ruvu juu. Hili nalo kwa sababu za kiusalama, inabidi liwekwe umbali kadhaa kutoka kwenye mambomba mengine na mwisho wa barabara.
Sasa jengo karibu namna hiyo, hebu fikiri likichimbwa na kutandikwa bomba la gas, likilipuka hapo, si jengo zima na watu ndani yake watakaangwa? Hivi nyie mnaishi karne ya ngapi?
Kitu pekee ambacho Magufuli anachemsha ni kuwa, inabidi awaulize wajenzi, ni nani hasa aliruhusu ujenzi kuwa karibu namna hiyo na barabara? Akipatikana basi yeye na mali zake wafilisiwe. Hawa ndiyo wanaotia aibu fani ya UJENZI. Jitu linakurupuka na kujenga vitu ndani ya barabara bila ya kujua, kuna siku barabara ile inabidi zijengwe hata lane 8 kuingia mjini na 8 kutoka mjini. Sasa kukiwa na lane hata 10 tu, inamaana 10x3=30m. Hapo ongeza na pavements, sehemu za waendesha baiskeli, na za kuweka hizo bomba hapo juu, tayari uko ndani ya jengo la pili.
Wanasiasa wameharibu sana fani ya ujenzi. Mtu kama Mwiba angelikuwa Rais, ndiyo walewale. Kuhalalisha kosa kwa sababu tu kulisahihisha ni aghali sana. Watu wanatakiwa kuwa wanafilisiwa ili kufidia gharama, basi watakuwa mahiri na kazi zao.
Huyu jamaa anatakiwa ku focus attention yake kwenye kujenga barabara. Badala yake sasa ana focus attention yake yote kwenye kubomoa majengo ambayo yamekuwepo hapo kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Huu ni wenda wazimu!
Hifadhi ya Barabara ni kwa sababu ya public services and utilities ikiwema; umeme, maji, simu, internet, mobile toilets, e.t.c. Jengo la TANESCO ni public services kwa maana kwamba wameamua badala ya kuweka nguzo za umeme waweke sehemu ya ofisi yao ili kurahisisha public service, sasa mzee Pombe atuambia anataka kuondoa public service and utilities ili public ipate wapi huduma?
Nakumbuka msemo wa kikwetu usemao "...Ukimsifu mgema tembo hulitia maji...! Magufuli amesema yale majumba ya shirika la umeme yanayoleta mandhari ya aina yake hapa jijini yaliyojengwa kwa mabilioni ya shilingi ni lazima yavunjwe eti yamejengwa kwenye sehemu iliyohifadhiwa kwa ajili ya kupita barabara.
Huyu mtu kama hana wazimu atakuwa na kitu gani hivi anafikiria hela iliyotumika ni hela ya serikali, ? Au ya shirika la umeme ,akili za watu wengine zinakuwa za ajabu ajabu ,anachotaka ni kuwapa tanesco eneo jingine wajenge upya ,kwa maana kwa dau hilo hela ingine itapatikana na wajanja kupata chao.
Mtu huyu alikuwa wapi wakati majumba hayo yakijengwa ?Serikali ilikuwa wapi ?
Unaenda kuvunja mijumba hiyo kwenye nchi ambayo uchumi wake ni wa kubahatisha au wakuu mnataka na kutafuta njia mbadala ya kufanya ufisadi,
Mtu huyu alikuwa wapi wakati majumba hayo yakijengwa ?Serikali ilikuwa wapi ?
Nakumbuka msemo wa kikwetu usemao "...Ukimsifu mgema tembo hulitia maji...! Magufuli amesema yale majumba ya shirika la umeme yanayoleta mandhari ya aina yake hapa jijini yaliyojengwa kwa mabilioni ya shilingi ni lazima yavunjwe eti yamejengwa kwenye sehemu iliyohifadhiwa kwa ajili ya kupita barabara.
Huyu mtu kama hana wazimu atakuwa na kitu gani hivi anafikiria hela iliyotumika ni hela ya serikali, ? Au ya shirika la umeme ,akili za watu wengine zinakuwa za ajabu ajabu ,anachotaka ni kuwapa tanesco eneo jingine wajenge upya ,kwa maana kwa dau hilo hela ingine itapatikana na wajanja kupata chao.
Mtu huyu alikuwa wapi wakati majumba hayo yakijengwa ?Serikali ilikuwa wapi ?
Unaenda kuvunja mijumba hiyo kwenye nchi ambayo uchumi wake ni wa kubahatisha au wakuu mnataka na kutafuta njia mbadala ya kufanya ufisadi,
Huyu jamaa anatakiwa ku focus attention yake kwenye kujenga barabara. Badala yake sasa ana focus attention yake yote kwenye kubomoa majengo ambayo yamekuwepo hapo kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Huu ni wenda wazimu!
Huyu jamaa ana wazimu sio kidogo, hao wazembe wa serikali waliopitisha ujenzi wa hilo jengo wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani?
Au kwakuwa hayo majengo yamejengwa na kodi ya mwananchi basi inakuwa ni rahisi kuyavunja? Akavunje nyumba zake huko chato na dar..hili swala ni zito sana,badala ya serikali kufikiria maendeleo ya kujenga flyover eti wao wanafikiria kuvunja! Nasema siku atakapoamua kuvunja lile jengo kwa huo wazifa wake wa muda,atakuja kujutia maisha yake yote..I mean it.
pumba nyingine hii, jengo litavunjwa tuu hata iwe vp, mmekalia kulalama oooh foleni, leo mnaambiwa tuvunje majengo yalojengwa hifadhini ili tutanue barabara ili foleni isiwepo mmeanza kelele tena,..ivi watz mkoje?? kwahiyo issue ya barabara saivi imekuwa ja magufuli na nyie mmehamia kwenye jengo..akili zenu kama za konokono..ukimguisa kichwa ndo anakiingiza ndani otherwise he's blind..nchi hii haiendelei kwa ajili ya vichwa pumba kama nyinyi..Hifadhi ya Barabara ni kwa sababu ya public services and utilities ikiwema; umeme, maji, simu, internet, mobile toilets, e.t.c. Jengo la TANESCO ni public services kwa maana kwamba wameamua badala ya kuweka nguzo za umeme waweke sehemu ya ofisi yao ili kurahisisha public service, sasa mzee Pombe atuambia anataka kuondoa public service and utilities ili public ipate wapi huduma?
Aaanze na ya Kariakoo kwanza.