Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
Ahaaaa hiyo ndio Tanzania
!
!
Jamaa Waongo Hadi Wanasahau Wanasema Nini Aisee
Ahaaaa hiyo ndio Tanzania
kumbe walizuiwa na mvua, kwa hiyo hizo mvua zinanyesha kwa wakati mmoja nchi nzima?Umeambiwa mvua zinanyesha uwe unaelewa bwashee!
Lijafo liongo sana jamani.Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema zaidi ya wananchi milioni 11 wameshajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Lengo ni kuandikisha wapiga kura milioni 26.9 hivyo zoezi linakwenda vizuri.
Jaffo amesema zoezi lililega lega kidogo kwa sababu ya mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ndio maana ameongeza muda wa siku tatu ili kutoa fursa kwa wale waliokwama waweze kujiandikisha.
Chanzo: ITV habari!
CCM
CCM pekee ina wanachama zaidi ya milioni 15 usisahau hilo!
Porojo tu hákuna takwimu zinazotumwa saa 3;uskWaziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema zaidi ya wananchi milioni 11 wameshajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Lengo ni kuandikisha wapiga kura milioni 26.9 hivyo zoezi linakwenda vizuri.
Jaffo amesema zoezi lililega lega kidogo kwa sababu ya mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ndio maana ameongeza muda wa siku tatu ili kutoa fursa kwa wale waliokwama waweze kujiandikisha.
Chanzo: ITV habari!
Hapa ndipo utagundua jinsi ambavyo serikali ya ccm inafanya mambo kisanii, huyu kijana anasema walitaraji kuandika watu milion 26 na sasa wamepata watu milion 11 na kwamba zoezi linaenda vizuri, kama linaenda vizuri wameongeza siku za nini ?Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema zaidi ya wananchi milioni 11 wameshajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Lengo ni kuandikisha wapiga kura milioni 26.9 hivyo zoezi linakwenda vizuri.
Jaffo amesema zoezi lililega lega kidogo kwa sababu ya mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ndio maana ameongeza muda wa siku tatu ili kutoa fursa kwa wale waliokwama waweze kujiandikisha.
Chanzo: ITV habari!
!
!
Sasa Wameongeza Siku Za Nini Kama Zoezi Limeenda Vizuri?
..hahahaaa kwaiyo watawagawia miamvuli majumbani au watazuia mvua kwa mda wa siku 3? Tukichagua mnasema tunachagua hovyo hovyo amleti huduma... Sasa tumeamua mchague wenyewe mlete maendeoeo nchi iwe Kama ulaya kwa maendeleo kutoka chama chenuUmeambiwa mvua zinanyesha uwe unaelewa bwashee!
Kwa Takwimu halisia na si Za uongo hizo za Jafo. Hatudanganywi kifala sasa hivi.
Na tumejiandikisha kwa wingi.CCM
CCM pekee ina wanachama zaidi ya milioni 15 usisahau hilo!