Waziri Dr. A. Kigoda & G. Kabaka: Munajua kinachoendelea pale Princeware Africa Ltd?

Visionmark

Senior Member
Nov 24, 2011
158
28
Princeware Africa Ltd ni miongoni mwa viwanda vya wahindi vinavyojishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya majumbani vya plastic kikiwa barabara ya Nyerere pale stendi ya Kipawa. Ktk kiwanda hiki wafanyakazi wamekuwa wakipata kila aina ya manyanyaso toka kwa mabosi wao wa kihindi & ni takribani miezi mitano sasa wafanyakazi ktk kiwanda hiki hawajapewa mishahara yao! Tafadhali mawazi wenye dhamana ktk eneo hili husika ni vizuri wakafanyia kazi mgogoro kiwandani hapo!
 
Fafanua hayao manyanyaso basi ili GT wapate pa kuanzia mjadala na actions, kama ni kuchelewesha mshahara kumbuka kuwa huo ndo wimbo uliozagaa kila pande ya nchi hii, kumbuka walimu wamepanga kugoma baada ya kukaa miaka bila kulipwa stahili zao, usisahau madaktari nao wameanza mchakato wa ku-resume mgomo. Nonspuriousness required.
 
...washauri wafanyakazi wafike mapema makao makuu Wizara ya Kazi na Ajira, waulizie IDARA YA USIMAMIZI WA KAZI NA UDUMA YA UKAGUZI watapatiwa ufumbuzi wa haraka sana. tatizo la sisi wafanyakazi wakitanzania hawataki kuumiza vichwa kuzitambua mamlaka muhimu kabla hawajapata matatizo yakitokea ndo malalamiko yanaanza. duh! ni Hatari kwakweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom