Waziri Charles Tizeba alikoroga uchaguzi udiwani Lugata-Kome

Pwaaaa

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
248
67
Ama kweli siasa ni mchezo mchafu. Eti Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba ameanza kumfanyia rafu mbaya za kisiasa kaka yake wa tumbo moja, Injinia Adriani Tizeba ili asishinde uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Lugata Kome Jimbo la Buchosa wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza.

Waziri Tizeba ambaye kwa muda mrefu wameingia bifu LA KUFA MTU na kaka yake aliyemsomesha, Injinia Adriani, anadaiwa kumrubuni mama yao mzazi kumpakazia Adriani eti alimbaka!. Wakati mama huyo akibwabwaja maneno yake hayo machafu na ya ovyo yasiyo na ukweli ndani wake, ambayo yanayodaiwa kupandikizwa na huyo Waziri, mpaka leo hii hakuna kesi yoyote ya kubakwa mama huyo. Na wananchi wote wa kata ya Lugata, wakiwemo wafuasi wa CCM na vyama vingine wameapa kumpigia kura zote za ndiyo Adiriani Tizeba anayegombea udiwani kata hiyo kupitia CHADEMA, maana mdogo wake amempakazia mambo ya KISHENZI yasiyo na ukweli hata chembe!.
 
Mama pole tu sukali na tumaandazi twa fedha za majambazi wa CCM anazokupa mwanao Tizeba zisikufanye uingie kwenye ugomvi wa wanao mama tafadhali kaa kati usiegemee upande, usije pata laana bure kusingizia mwanao kachungulia alikotoka
 
siasa zinagombanisha mtu na kaka yake tena wa tumbo moja? shikamoo tizeba,jimbo lako ujue shigongo analilia usiku na mchana? na hivi karibuni shigongo cup imemalizika ndani ya buchosa na pia akahubiri amani kupitia wawakilishi wake and al that,so jipanga kaka
 
Mama pole tu sukali na tumaandazi twa fedha za majambazi wa CCM anazokupa mwanao Tizeba zisikufanye uingie kwenye ugomvi wa wanao mama tafadhali kaa kati usiegemee upande, usije pata laana bure kusingizia mwanao kachungulia alikotoka
Kama nikweli huyo bwana anamfanyia ndugu yake hivyo na hakuna ukweli wowote wa hizo tuhuma basi huyo bwana na huyo mama nihatari sana, ila sishangai hata torati zinaonyesha kwamba hata kaini alimhujumu nduguye nimaandiko yanatimia.
 
Ama kweli siasa ni mchezo mchafu. Eti Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba ameanza kumfanyia rafu mbaya za kisiasa kaka yake wa tumbo moja, Injinia Adriani Tizeba ili asishinde uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Lugata Kome Jimbo la Buchosa wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza.

Waziri Tizeba ambaye kwa muda mrefu wameingia bifu LA KUFA MTU na kaka yake aliyemsomesha, Injinia Adriani, anadaiwa kumrubuni mama yao mzazi kumpakazia Adriani eti alimbaka!. Wakati mama huyo akibwabwaja maneno yake hayo machafu na ya ovyo yasiyo na ukweli ndani wake, ambayo yanayodaiwa kupandikizwa na huyo Waziri, mpaka leo hii hakuna kesi yoyote ya kubakwa mama huyo. Na wananchi wote wa kata ya Lugata, wakiwemo wafuasi wa CCM na vyama vingine wameapa kumpigia kura zote za ndiyo Adiriani Tizeba anayegombea udiwani kata hiyo kupitia CHADEMA, maana mdogo wake amempakazia mambo ya KISHENZI yasiyo na ukweli hata chembe!.

Kwa kuwa ameshirikisha UTUPU wa Mama yako Mzazi kwa hila na chuki Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu. Adrian akishinda Udiwani Dr Tizeba ataanza kuchanganyikiwa kwa laana ya Mama yao Mzazi. Unaanzia wapi kumdhalilisha Mama yako kwamba alisha wahi kubakwa tena na mwanaye kama siyo kumtukania Mama yako kupitia UTUPU WAKE???
 
Kwa kweli hizi siasa kama zinafikia hatua hiyo tunazidi kupotea. Ni vigumu kuamini mama anaweza kutumiwa kisiasa kutoa tuhuma nzito namna hii na zikapita bila kufanyiwa uchunguzi. Sasa hii ni kutafuta laana kabisaa.
 
Mbele ya madaraka CCM wako tayari kumsujudia SHETANI kama wanaamini kwa jinsi hiyo wanaweza kushinda au kupunguza prwsha... !
Kama ni kweli walisubiri nini kuyasema hayo kabla ya KAMPENI?! Kumbe wana- CCM wanalindana na kufichiana MAOVU makubwa kiasi hicho eeeh?! Sasa tumejua kwamba kila aliye CCM ana maovu yake ILA kwa sababu yuko ndani ya CHAMA maovu yao hayawezi kuwekwa wazi.
Na hii ndiyo sababu ya kwa nini watu hawang'oki CCM- si kwa kuipenda BALI kwa sababu kila mtu ANANUKA kivyake!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom