WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 946
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAMUlitaka amkague nani uridhike?? Wote wapo safi mkuu
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAMUlitaka amkague nani uridhike?? Wote wapo safi mkuu
kwasababu CCM ni chama tawala CDM ingekuwa chama tawala tungedeal na mbowe perpendicularlyWakati mwingine gubu halifai kwa mtoto wa kiume,umekazania bashite bashite hata kama raisi atambakisha yy ndie anaejua huyo unaedai bashite umuimu wake ktk taifa,hebu punguzeni roho mbaya jamani mmepiga mikelele lakini raisi hawajali na mm nimeoenda msimamo wake.haiwezekani prezdar mumpangie cha kufanya.kuna kiongozi wa chama kikubwa hapa nchini na ni mbunge kapata O na bado aka tumia cheti cha gestura kuajiliwa pale BOT je ke kesho hakija kuwa raisi au kuteuliwa kuwa katibu ktk wizala fulani je mtamsakama kama huyo mnamwita bashite,kama kweli mnadhamila ya dhati kukomesha haya mambo kwa nn msianze na hao akina frimon gestura kabra hawajafika mbali,acheni roho mbaya nyie.mbona hamkemei ukabira uliopo ktj vyama vingine hila la bashite kubwa sana kwenu?
Waziri kairuki amesema, Zoezi hili halikuhusisha Viongozi wa Kisiasa wakiwemo Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya na Madiwani. Kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi, wote tunafahumu uteuzi na uchaguzi kwenye nafasi zao unafanyika kwa misingi ya wahusika kujua kusoma na kuandika, Ibara 67 (1) ya Katiba ya JMT.
My take: Kosa la kughushi cheti ni kosa la jinai,jinai hii haipaswi kuwatenga wanasiasa na watu wa kawaida!.
Hapa chini nmeweka hiyo Ibara ya Katiba aliyoisoma.
View attachment 502164
NB:Nadhani sasa ule utata wa wakuu wa mikoa na wilaya umeisha,hawa ni wanasiasa kwa mujibu wa Waziri!
Suala la vyeti feki limeishia hapa mkuu .Baada ya matamshi ya waziri Angela Kairuki kuhusu wanasiasa,wakuu wa mikoa,n.k kutakiwa kuwa na sifa za kujua kusoma na kuandika tu kama shariti la wao kuwa watumishi wa serikali,natarajia kusikia kauli ya waziri kivuli wa utumishi wa umma juu ya kauli hii ya waziri Angela Kairuki.
Mbali na waziri kivuli wa utumishi, natarajia pia kusikia kauli /maoni ya waziri kivuli wa sheria, mh.Tundu Lissu juu ya kauli hiyo ya waziri.
Naamini mh.Tundu Lissu atakuja na ufafanuzi au uchambuzi wa kutosha juu ya kauli hii.
KATIBA INAWARUHUSU ILA WALE WENYE VYETI FEKI WAKAGULIWEKwa maana hiyo Wateuliwa wa Kisiasa wako JUU YA SHERIA?
KATIBA INAWARUHUSU ILA WALE WENYE VYETI FEKI WAKAGULIWE
La mkono kabsa mkuuHiyo kauli ya tundu lissu itasasidia Nini mfano??Serikali ilisha kwambia kuwa RC ,DC , WABUNGE ,NI VYEO VYA KIASIASA HAVINA QUALIFICATION ASA HUYO TUNDU LISSU ATAFANYA NINI ,KIFUPI MMEPIGWA GORI LINGINE LA KISINGINO.....
Wai hili linchi la ajabu sana. Kama mkuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa basi asisimamie maendeleo ambayo kwa wakati mwingine yanafanywa na watu wenye elimu zao. Hao ni kutuambia mtu wa darasa la saba amsimamie Engineer wa mkoa sababu tu anajua kusoma. Natamani hata kutukana.[/QUOTE
Brilliant observation ! Viwango vya kuwa mwanasiasa vimeteremshwa na kuwa "barely minimum" na viwango vya wasomi vimepandishwa "To the maximum". Hii concept Vladmir Ilyich Lenin aliikataa kabisa kabisa. Scenario ya kwamba inakubalika semi -illiterate awe kiongozi na pengine aongoze professionals simply because ni mwanasiasa.......? Nafikiri tukae tena tulitafakari hili kwa maslahi mapana ya nchi.!