Waziri ananitaka kimapenzi

wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro

maswali:
1.umeleta hapa ili tujue unatongozwa?
2.je mbona ulivyotongozwa na muuza mkaa haukuleta hapa jamvini?
3.au umeishaliwa na umebumbulukiwa na sasa unatafuta njia ya kujitetea?
4.au unatajitambulisha kuwa unapenda kutongozwa?
5.kwanza we jinsia gani,maana siku hizi hata watu wa kameruni nao wanarukaruka tu mitaani utadhani bisi kikaangoni?
acha ulimbukeni we endelea kugawa
 
Mwenzetu kaomba USHAURI... Kashfa, Matusi na Kejeli zote za nini? Dada kama hujamkubalia, Usikubali kabisa.... Ikibidi na GARI rudisha kusudi uishi kwa AMANI.. POLE sana..
 
maswali:
1.umeleta hapa ili tujue unatongozwa?
2.je mbona ulivyotongozwa na muuza mkaa haukuleta hapa jamvini?
3.au umeishaliwa na umebumbulukiwa na sasa unatafuta njia ya kujitetea?
4.au unatajitambulisha kuwa unapenda kutongozwa?
5.kwanza we jinsia gani,maana siku hizi hata watu wa kameruni nao wanarukaruka tu mitaani utadhani bisi kikaangoni?
acha ulimbukeni we endelea kugawa

Punguza ukali wa maneno pls...
 
Shosti ivi kweli wote wanaokutongoza unakuja kuwataja hapa au unataka tujue kama na wewe umehongwa gari? kwani wewe kama wewe huwezi kumiliki gari yako mwenyewe mpaka uhongwe? akikupa nyumba sehemu kama masaki hapo ndio uje useme hivyo anavyokupa ni vumbi la lunga sio unga wenyewe.....
 
Ni kigezo kipi ulichoktumia mpaka kutuomba ushauli kuwa waziri anakutaka? Mbona aliye kubikiri hukumleta hapa tumjadiri! Na ni wa2 wangi wamekuta wewe ? Au akiri yako finyu imeona neno 'WAZIRI' ndo zuri sana kuliombea ushauri kuliko hao wote walio 'KUPITIA' we chenga tu'
 
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
We chukua gari kula kona.....................................akikudai mweke hapa front page tumshughulikie
 
kauli yako inanitatiza unaposema annionga gari.Sasa kama gari umeshapewa unadhani kifuatacho ni nini?au mmekorofishana sasa unatuletea wana jamvi 2toe maoni yetu?kuwa muwazi
 
Sioni cha ajabu hapo, kama wewe ni mwanamke na yeye ni mwanaume hiyo ni necha iko kazini, ila kama mko jinsia moja inaweza ikawa habari...hivi huyo ndio mwanaume wa kwanza kukutongoza au ni ushamb...
 
usiri ni jambo lililotawala mioyo ya watanzania kwa kiasi kikubwa ila ijulikane kuwa dunia ya sasa kuna mambo hayatakiwi kuwa siri!
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa!!!!!!!!!!!!! we tayari ulishaliwa so hapa unataka sifa tuu!!!1
 
huyo tracy wa njiro mbona kapotea hajibu hoja ??????????????? Vitu vya kutunga kupotezeana muda !!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom