Wazee wa meru wasema john tendwa aonyeshe hilo kundi lililopanga kufanya mauaji ya lema na viongozi

chachana

Member
Aug 4, 2011
57
92
Sasa kibao kitamgeukia vibaya msajili wa vyama vya siasa john tendwa.
Wazee wamesema kwa kumtaka sasa na aje meru awataje hao wazee wote (washili) waliopanga kumuua mbunge lema na viongozi wa chadema.
wazee hao wamekasirishwa na ufyatu wa msajili huyu na kusema kauli yake itamgharimu pabaya na kumpa onyo asilete masihara meru yasije kumtokea puani.
 
Back
Top Bottom