Wazee wa comeback

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,273
Majibu ya sensa yamevuja uko "Katika kila vijana kumi, kuna vijana kumi wanateseka na mapenzi".

Umeshawahi mfata msichana mkiwa sekondari akakujibu shombo kinoma, halafu baada ya miaka kama 9 kupita anakuja kujitongozesha mwenyewe?

Ka-madam kadogo kadogo kazuri kanawachapa chapa viboko siku ya siku huyu hapa unae guest?

Kuna mkaka alikuwa anakupita kama kisiki hivi yaani anakuona wa hovyo katoto unanuka mkojo, hujui kufua chupi hata kukuambia mambo hakuna, ila baada ya miaka 8 kupita anakusumbua kinoma uko inbox?

Pale darasa la nne kamasi tu puani alafu kuna kamkaka ka darasa la saba kabishoo kinomaaa, unakawaza mwenyewe ila unashindwa hata kumsalimia unaona kabisa siambulii kitu ila ikapita miaka 7 anaanza kukufukizia?

Ushawahi kuambiwa na msichana "Mimi sio hadhi yako" lakini ikapita miaka kadhaaa ukamlaza kwenye kale kagodoro kako ghetto?

Siyo zile za wiki mbili au mwezi za wasichana kukuzungusha zungusha ile unamfukuzia, HAPANA. Naongelea ile umetolewa nje kwasababu yeyote ile, mfano kakuona mtoto au siyo hadhi yake lakini ikapita miaka kadhaaa na wewe ukasahau kabisa hiyo scenario baadae unamwona mtoto huyu hapa anajileta!

SCENARIO NO 1.
Miaka hiyo chuo mwaka wa kwanza kuna msichana mwaka wa kwanza mwenzangu nimemtokea ananijibu "Kwa unavyoniona hivi me ni wa kutoka na mwaka wa kwanza?"

Mwana kujitetea tetea pale na tumistari twa uwongo uwongo na vizawadi zawadi wapi niliambulia hiyo kauli nikasema freshi haina noma maisha yakasonga. Tukawa tukikutana hi nini mambo poa fuleshi, mwaka wa tatu nimebaki tu na kumbukumbu kama nshawahi kumtongoza nikapata tabu sana.

Mara ghafla akawa anapenda sana kunichatisha, mara nije ghetto kwako, wikiendi tuingie wapi, una mtu wewe? Nikaona hamna kazi hapa na mimi nikam-friend zone.

SCENARIO NO 2.
Huyu hapa nakumbuka alinichapa tukio nipo kidato cha tano na alinijibu kistaarabu tu japo iliniuma sana, alinambia "Nina mtu wangu nampenda na hata nikiamua kumuacha siwezi kufanya hivyo kwa ajili ya mtu kama wewe", mwamba nikasema uhakika.

Miaka kama kawaida ikaenda, nipo zangu mwaka wa pili hiyo siku naingia stationary moja yeye akawa anatoka (kumbe alikuwa chuo cha karibu anasoma), alivoniona nikaskia "Waaoh" story zikawa nyingi kidogo nikaomba namba yake freshi.

Nimekaa siku ngapi nakamtafuta, halafu nikamtongoza nione kitatokea nini, akakubali mapema tu.

SCENARIO NO 3.
Haka kadogo miaka hiyo kalikuwa kadogo kadogo halafu kachafu kachafu sana, shepu haileweki yaani kapo kapo tu. Sasa nyumbani sijatimba muda kidogo umepita, juzi naenda nakakuta daaah katoto shepu, katoto tako, katoto kasafi. Nikasema mbona hili "Comeback" la hatari sana, sema kuna mwana nimekuwa naye wa pale kitaa ndiyo anabeba ikabidi tu niwe mpole.

Ebu mtupe "Comeback" mlizopiga au kupigwa wadau.

#OneDayYouWillBeGone
Dr criminal.
 
Ushawahi kuambiwa na dem "Mimi sio hadhi Yako" lakini ikapita miaka kadhaaa ukamlaza kwenye kale kagodoro Kako ghetto??
Umenilenga au umeniona?

Hio manzi nakumbuka nipo form 3 enzi hizo nilikua naifukuzia vibaya nikala ban nami nikapiga kimya yaan nikawa kauzu kauza ndimu nikakaa siku tumemaliza NECTA tu mara mtoto huyu hapa ananiomba nimtafune nikaona eeehe hiki nini huyu amefikiria nini?

Nikaona isiwe tabu home kulikua na watoto wa sister wananijazia umati alafu manzi alikua ananilazimisha yaan lazima nimtombe siku hio hio hakuna cha nini wala nini, nikawapa madogo 1000 wakanunue pipi na biskut na wakimaliza waendelee kucheza uko nje wasije ndani

Nikavuta chombo ndani nikaulizwa 'una condom...?!' nikasema 'duuh mbon sina condom' akasema 'basi km huna condom mimi siwezi fanya nenda kanunue condom nipo kwenye siku za hatari au unataka nipate mimba..?!' nukamjibu 'hapana...' nikawahi kwenda kucheck condom dukani fasta

Nikarudi nikamkuta mtoto ananisubiri kwa hamu.. mtoto kigori enzi hizo ana miaka 17 chuchu mchongoma daaah kitu K laiiiini na ukauzu wangu woooote niliokua nao mtoto akanitunuku kipochi manyoya aisee

Hivi wewe umewahi kupewa kitu ambacho hukutarajia km utapewa unajua jinsi inavyokua inakua kuaje?
😂😂😂
 
Bonge la comeback
 
Sehemu ya maisha na haishangazi sana. Japo haipendezi kumdharau mtu kwa jinsi alivyo muda ule. karibu watu wote huenda tumekutana na kadhia kama hizo kwa namna moja ama nyingine.
Wengine ilikuwa labda ni utoto tu. Kukua wamekuja kujua kumbe walikuwa hawajui
Sure thing mkuu
 
ebhana majuzi kuna dada anafanya kazi petrol station fulani hapa town. Nilienda na pikipiki TVS nikamkuta nikamwambia weka full tank akajaza nikalipa nikasepa siku nyingine nikaenda kuomba risiti ili nifanye mambo yangu nikamkuta nikaomba na namba kumtongoza akachomoa eti Hawez toka na bodaboda nilicheka sana (TVS iliniponza) nikapiga kimya imepita muda nikaenda na gari nikamwambia weka full tank akajaza nikalipa nikasepa. sijafika mbali akatuma txt kuuliza nafanya kazi wapi? sikumjibu siku inayofuata akanipigia asubuh kunijulia hali nkamshukuru sana kwa kunijulia hali jioni nkamwambia nkitoka mizunguko yangu ntampitia akakubali nikaenda na tvs yangu mpka pale kazini kwake akatoka nikamchukua na nilikua nimepiga code za kihuni pensi raba na vest nikampeleka beach akakomaa sana kuuliza kazi yangu na kutaka kujua naish wapi usiku ulipoingia nkamwambia akapajue kwangu hakugoma nikapitia vyakula vinywaji na dawa yangu moja (cha arusha) basi taratibuu na ki tvs changu nkamuingiza mjengoni akapagawa zaidi kukuta nimepaki gari lilelile aliloniona nalo na mm mida wote nilikua namjibu kua ni boda boda maswali yakawa mengi ila nkamzima kua atulie hata boda nayo ni kazi.
basi tukala akafurah sana nkamuomba nimrudishe akasema yupo huru na kwakua ni karibu na kazini kwake atalala hapahapa mpka asubuh nimpeleke kazini na mm skukataa ila bado nkamwambia naona unalala kwa bodaboda akawa anacheka sana akikumbuka kauli yake kisa nlienda na pikipiki mara ya kwanza. basi muda wa kula dawa akaomba na yy apige moshi mbili basi hapo ndo ikawa kama kisingizio cha kuanza kuvua nguo mara aseme kuna joto anataka kuoga bas bila hiana nkampeleka bafuni na mchezo ukaanzia huko huko ila nilipiga kaz kwa juhudi sana akilini nikisema ulinidharau kisa pikipiki ila umenasa.
 
Huku ushanyonga jogoo pori, ukapiipiga pwechele hadi inabaki inalia pwakapwaka, halafu kuna rege za dube na bob kwa sauti ya mbaaali sana huku umechoma udi marashi iko kwenye kona huko mlangoni mixer kuna mrungi mbichi mezani na big g original ukigeuka pembeni Vant kubwa inakuchungulia usiku unakua mfupi sana
 
Hayo Maisha niliyapitia sana miaka ya nyuma mimi hio life style kuna manzi mmoja wa Singida alikua anaishi Kilimanjaro kikazi alikua ananipendea hicho tu yaan tungi tungi tungi ndio alichokua ananipendea, kuna kipindi tukapotezana nikawa nimepoteza na namba yake kabisa

Eeh siku hio naona namba mpya imenitafuta kucheck ni yeye kuuliza vipi anasema 'amenimic', kumdadisi zaidi kumbe alishaolewa & ameshazalishwa tayari, akawa anaulilia mjegeja wangu amemisi mambo yangu mara akataka apange safari ya ghafla yaan atoke Kilimanjaro aje Dar kuufuata mjegeja nikamuuliza 'jamaa yako itakuaje..?!' akasema 'achana nae asikuumize kichwa hilo niachie mimi..' nikasema 'daah huyu mwanamke anawaza nini huyu..?!' nikawaza upande wa pili km mimi ndio ningekua jamaa yake alafu ndio napigwa tukio km hilo ningejisikiaje

Nilimpiga chini nikamwambia abaki na mtu wake mimi na yeye tulishamalizana, akalia sana eti analilia jegeja langu n mambo yangu vile vituko na ukauzu wangu nikiwa nipo tungi na jinsi ninavyompelekea moto, nikamwambia 'tungi nimeacha..' hakuamini hapo ndio ukawa mwanzo wa kunikacha maana alikua akipenda nikiwa tungi na nilipomwambia nmeacha tukatemana mazima

Ahsanteni kwa kunisikiliza..
 
Huku ushanyonga jogoo pori, ukapiipiga pwechele hadi inabaki inalia pwakapwaka, halafu kuna rege za dube na bob kwa sauti ya mbaaali sana huku umechoma udi marashi iko kwenye kona huko mlangoni mixer kuna mrungi mbichi mezani na big g original ukigeuka pembeni Vant kubwa inakuchungulia usiku unakua mfupi sana
aloooo ww utanicha hapo kwenye gomba na kvant
 
ebhana majuzi kuna dada anafanya kazi petrol station fulani hapa town. Nilienda na pikipiki TVS nikamkuta nikamwambia weka full tank akajaza nikalipa nikasepa siku nyingine nikaenda kuomba risiti ili nifanye mambo yangu nikamkuta nikaomba na namba kumtongoza akachomoa eti Hawez toka na bodaboda nilicheka sana (TVS iliniponza) nikapiga kimya imepita muda nikaenda na gari nikamwambia weka full tank akajaza nikalipa nikasepa. sijafika mbali akatuma txt kuuliza nafanya kazi wapi? sikumjibu siku inayofuata akanipigia asubuh kunijulia hali nkamshukuru sana kwa kunijulia hali jioni nkamwambia nkitoka mizunguko yangu ntampitia akakubali nikaenda na tvs yangu mpka pale kazini kwake akatoka nikamchukua na nilikua nimepiga code za kihuni pensi raba na vest nikampeleka beach akakomaa sana kuuliza kazi yangu na kutaka kujua naish wapi usiku ulipoingia nkamwambia akapajue kwangu hakugoma nikapitia vyakula vinywaji na dawa yangu moja (cha arusha) basi taratibuu na ki tvs changu nkamuingiza mjengoni akapagawa zaidi kukuta nimepaki gari lilelile aliloniona nalo na mm mida wote nilikua namjibu kua ni boda boda maswali yakawa mengi ila nkamzima kua atulie hata boda nayo ni kazi.
basi tukala akafurah sana nkamuomba nimrudishe akasema yupo huru na kwakua ni karibu na kazini kwake atalala hapahapa mpka asubuh nimpeleke kazini na mm skukataa ila bado nkamwambia naona unalala kwa bodaboda akawa anacheka sana akikumbuka kauli yake kisa nlienda na pikipiki mara ya kwanza. basi muda wa kula dawa akaomba na yy apige moshi mbili basi hapo ndo ikawa kama kisingizio cha kuanza kuvua nguo mara aseme kuna joto anataka kuoga bas bila hiana nkampeleka bafuni na mchezo ukaanzia huko huko ila nilipiga kaz kwa juhudi sana akilini nikisema ulinidharau kisa pikipiki ila umenasa.
Mtoto alizarau mikato,,bonge la comeback
 
aloooo ww utanicha hapo kwenye gomba na kvant

Halafu vant yenyewe unafyonza kidogo sana unasukumia mate mengi tatizo watu wanakunywa vant kama maji ndio zinawaaibisha na wakati unafyonza pembeni pana maji lita mbili unapiga mdogo mdogo huwezi kulewa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom