Wazee wa best luzer uwanjani!

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Jaman kweli leo tutawafunga malawi?siiamin hata kidogo kilimanjaro stars.Wewe je?
 
Tusijabaruze!! hii ni Tanganyika stars iliyobatizwa Kilimanjaro stars, na tutashinda!
 
Jamaa leo wametulia sana.wanaongoza goli 1 kwa 0.Nadhani wanaona aibu baada ya kuzomewa sana.
 
Back
Top Bottom