Wazee wa BANDARI: MWAKYEMBE na aje...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Maofisa mbalimbali wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamepania kumwonyesha Waziri Mteule wa Uchukuzi,Dr.(PhD) Harrison Mwakyembe,kilichowashinda watangulizi wake: Omari Nundu na Athuman Mfutakamba.Wakiongea nami jana katika nyakati tofauti juu ya vipi watampokea Waziri 'mpya',wazee hao wa Bndari walitamba kuwa hawataacha kilichozoeleka Bandarini hapo.'Tunajua Rais anatupima ubavu kwa kutuletea Mwakyembe.Na aje tumwonyeshe mfupa mgumu hapa Bandarini.Hatutaacha mazoea yetu'. alitamba mmoja wa wazee wa Bandari. Mwakyembe ataisafisha Bandari yetu?

Mzee Tupatupa
 
Hapa inawezekana kuna mtu mkubwa anaogopeka hapa..ni nani? na kuna kipindi mkulu alisema kuwa anawajua watu wote wa bandari pale na matendo yao...
 
Kwa nini hukuwauliza hao wazee wako nini kilichowashinda hao watangulizi wa mwakyembe? Ingetusaidia kuelewa upande wa hao wazee.... maana hapo sielewi msimamo wa hao wazee kama kuna matatizo ya msingi bandarini yanayohitaji nguvu ya ziada au wao wamejiwekea 'ngome' wasiyotaka ivunjwe na yeyote!
Maofisa mbalimbali wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamepania kumwonyesha Waziri Mteule wa Uchukuzi,Dr.(PhD) Harrison Mwakyembe,kilichowashinda watangulizi wake: Omari Nundu na Athuman Mfutakamba.Wakiongea nami jana katika nyakati tofauti juu ya vipi watampokea Waziri 'mpya',wazee hao wa Bndari walitamba kuwa hawataacha kilichozoeleka Bandarini hapo.'Tunajua Rais anatupima ubavu kwa kutuletea Mwakyembe.Na aje tumwonyeshe mfupa mgumu hapa Bandarini.Hatutaacha mazoea yetu'. alitamba mmoja wa wazee wa Bandari. Mwakyembe ataisafisha Bandari yetu?
 
Kama hilo lipo hizo ni hofu wanajua makali ya Mwakyembe, ni vyema wakaomba mafao yao na kuondoka kabla ya kuondolewa kwa kashfa.

Naye Mwakyembe akisikiliza hayo ajuwe taarifa za CAG zitamuumbua na kumuua kisiasa. Aidha, ajuwe ameipata hiyo nafsi kwa mwenzake kuondolewa hivyo kuna macho mengi yanaangalia kazi yake hiyo. Hata hivyo ninaimani na Mwakyembe na ninadhani hatawaangusha watanzania.
 
Wambie hizo zarau zao walizokua wakizionyesha kwa Nundu wakizionyesha kwa Mwakyembe watakiona cha mtema kuni.
 
Hapa inawezekana kuna mtu mkubwa anaogopeka hapa..ni nani? na kuna kipindi mkulu alisema kuwa anawajua watu wote wa bandari pale na matendo yao...
hapana chezea mwakyembe wewe!kupangwapale ni kipele kimepata mkunaji.
unajua tatizo la hapa huyo aliyemweka waziri anazunguka na kuwaambia hao wazee 'strategies' za kumkabili. Na sio ajabu unakuta kila mtu anaishia kulaumu utadhani ni mwananchi kama bibi yangu aliye kijijini.

Suluhisho la yote ni kuja na utawala wa juu mpya ambao utaweza ku-introduce mfumo mpya. Hapo utashangaa jinsi Tanzania iliyodhaniwa ni kichwa cha mwendawazimu itakavyoshika kasi kimaendeleo.
 
That is his big test! Kelele zote za mafisadi mtihani ndo unaanzaia hapa!
safisha bureaucracy za hapo
Ucheleweshaji wa Mizigo, udokozi, rushwa iliyokithiri

Kubwa zaidi ni upoteaji wa mapato makubwa ya serikali, ziba hiyo mianya
 
Mamlaka ya bandari ya mkusanyiko wa wazee fulani waswahili swahili kiasi kwamba wamekuwa ni watu wa kuendekeza ushirikina tu na ndio maana wengi wao licha ya kufanya kazi bandarini miaka mingi na kipato kizuri lakini wako duni kabisa. So hilo la kumuonyesha Mwakyembe mfupa uliowashinda watangulizi wake ndio muendelezo wa ule ujinga wao...lakini tatizo ni kuwalea na kuwaogopa ndiko kunakowapata kiburi. Kuna jamaa yangu ndugu yake alipata kazi ya udereve pale temporary kwa muda wa miezi miwili tu jamaa aliambiwa kuwa kuendesha gari iliyokuwa ikiendeshwa na yule mzee inabidi awe mgumu jamaa hakujali lakini siku ya 5 tu akaomba kuacha kazi......:eek2:
 
Maofisa mbalimbali wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamepania kumwonyesha Waziri Mteule wa Uchukuzi,Dr.(PhD) Harrison Mwakyembe,kilichowashinda watangulizi wake: Omari Nundu na Athuman Mfutakamba.Wakiongea nami jana katika nyakati tofauti juu ya vipi watampokea Waziri 'mpya',wazee hao wa Bndari walitamba kuwa hawataacha kilichozoeleka Bandarini hapo.'Tunajua Rais anatupima ubavu kwa kutuletea Mwakyembe.Na aje tumwonyeshe mfupa mgumu hapa Bandarini.Hatutaacha mazoea yetu'. alitamba mmoja wa wazee wa Bandari. Mwakyembe ataisafisha Bandari yetu?

Hata Mike Tyson alikuwa hapigiki,lakini alifika mahali pa kung'ata masikio,hao wazee nadhani walizungumza wakiwa wamekolea ulabu,ngoja jamaa awapelekeshe ahalafu tuone kama hawajaanza kuomba huruma ya Rais, ni ujinga sana kujivunia ubabe na maovu,siri ya kiburi chao itajulikana tu,si unajuu jamaa ni shushushu wa kimataifa? yangu macho na masikio
 
unajua tatizo la hapa huyo aliyemweka waziri anazunguka na kuwaambia hao wazee 'strategies' za kumkabili. Na sio ajabu unakuta kila mtu anaishia kulaumu utadhani ni mwananchi kama bibi yangu aliye kijijini.

Suluhisho la yote ni kuja na utawala wa juu mpya ambao utaweza ku-introduce mfumo mpya. Hapo utashangaa jinsi Tanzania iliyodhaniwa ni kichwa cha mwendawazimu itakavyoshika kasi kimaendeleo.
duh hii kali ..hapa mtu anatwanga maji ya kuyaweka kwenye gunia
 
sasa wanamkomesha nani hao wazee wa bandari,si ni upuuzi na kuturudisha nyuma watanzania

sifagilii kabisaa huu unao turudisha nyuma na kuwafaidisha wazee wachache
 
mwakyembe hiyo ndio nitoke vp 2015 namuaminia,huyu ni kati ya watu wachache popote walipo watakula kura yangu kama nitahitajika
 
Hao wazee wengi wao YANGA

......hahahahahah....Mkuu unavunja mbavu zangu aisee...............hahahah...halafu nimesikia hao hao ndio walitaka kuiteka timu...........waliposhindwa wakaipiga "kipapai".....Yanga wakapigwa na mnyama kama wamesimama vile.......hahahahahah....dah wazee wa Bandari..........
 
Yanga@work ...ndio maana hatuendelei

wanaanza na negative badala ya optimism
 
Back
Top Bottom