Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Wapendwa natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa mwenyezi mungu...leo hii ningependa wazazi wote waliobaahatika kuwa na wattoto wao vyuo vikuu...kila usalipo usiache kuwaombea watoto zenu
kuna wengine kwa kweli si wao bali ni mapepo yamewaingilia na ndio mmaana ukiwa kama mzazi...unaitaji kuwasha moto kwa ajili ya watoto wenu....kuna ambao kwa kweli wanasoma wakifika usiku wanakuwa kama SIMBA......,jamani nimesikitika sana majuzi kuona watoto wa vyuoni wanavyojiuza pale makumbusho...nilipoelekea corner bar kunywa supu nikawakuta wanajiachia kwa kwenda mbele...tena wako kule mwisho kabisa kuna jumba bovu ambalo halijaisha ndilo watu wanashugulikiwa hapo vya fasta...kwa kweli nkaona wanaitaji kuombewa ukiangalia ni watoto wazuri hakuna kinachoshindikana;we ukiwa mwanachuo na unahusika na mambo haya machafu jitahidi uache utakuja kuona rha zake baada ya kumaliza chuo...na sio sasa kujirusha utajirusha sana mwisho unajuta
nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa vyuoni..ujumbe tujitahidi kuft yale yaliotupeleka chuoni....