Wazazi kubadilishiwa watoto baada ya kujifungua

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
1,535
408
Nimesoma hii article kuhusu wazazi kubadilishiwa watoto mara baada ya kujifungua ikanikumbusha hospitali zetu za kibongo! Then nikajiuliza, hapa kwetu mambo yakoje e.g. Mwananyamala, Amani, Temeke etc ambapo purukushani za wazazi zimekuwa haziishi.

Ore. babies switched at birth meet 56 years later



Nasikia kuna issue za kubadilishiwa deliberately mtoto wa kiume unapewa wa kike i.e. kuna mtu anataka mtoto wa kiume, so ikitokea kajifungua mtoto wa kike,.anacheza dili na manesi wanatafuta mtoto wa kiume toka kwa wazazi wengine then anabadilishiwa. Wakati mwingine imekuwa ni uzembe tu wa manesi, hasa inapotokea wameelemewa na kazi, then wana-lose umakini, unakuta washabadilisha mtoto.

Duh hii noma...! Manake utata unaanzia kwanza mtoto hafanani na baba wala mama, mnavumilia kujifariji kuwa labda kafanana na mababu. Ngoma inakuja nzito mtoto akianza kukua hata tabia hafanani na yeyote katika familia......!
 
Back
Top Bottom