Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
nini maana ya neno tundu na nenu lusu?

Tundu

nitakupa mfano...tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita katika TUNDU la sindano.

Lusu

Nihakikishie sitachezea BAN nitakupa maana ya hili neno rhetorically

1)TUNDU:ni aina ya shimo ambalo hutokezea upande wa pili.ambapo shimo halitokei upande mwengine.

2)Tundu"ni nyumba ya ndege ambayo hujengewa ndege asitoke,baadhi ya watu hutumia neno"susu"

LUSU:niaina ya matusi ambayo mara nyingi hutukanwa watoto na wazaziwao,kwa mfano: mtoto akiambiwa neno halafu akapuuza alichoambiwa huambiwa neno hilo""LUSU WE"" nikama neno "MMBWA WE". Nafikiria kua Lusu ni kiumbe cha kufikirika kama vile ZIMWI ambacho hakina thamani kwenye utamaduni wa kiswahili kama alivyo mmbwa au ngurue. hizi zilizokoza ni fikra zangu mwenyewe.

3) Tundu ni aina ya ukorofi,Mfano:toto hili tundu(mtoto mtundu) kwakiswahi cha zamani mkorofi.ila kwa kiswahili kibovu inakua kinyume chake Fundi mtundu maanayake ndio hodari huyo.