Wazalendo Walioandamana kupinga Mkataba wa Milele wa kukodisha Bandari Waachiwa kwa Dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Watanzania Wafia Nchi , ambao Uzalendo wao umetukuka , waliojitokeza hadharani kujaribu kuokoa mali za nchi yao kwa kuandamana kupinga Mkataba wa Maisha yote wa Bandari za Tanzana waliotunukiwa Wageni wa DP WORLD , na baadaye kukamatwa kinyama na Polisi ambao nao ni Watanzania , HATIMAYE WAMEACHIWA KWA DHAMANA .

Walikuwa wanatetewa na Mawakili wasomi Deogratius Mahinyila na Dickson Matata .

FB_IMG_1687285899989.jpg
FB_IMG_1687285891911.jpg
FB_IMG_1687285886424.jpg
 
Watanzania Wafia Nchi , ambao Uzalendo wao umetukuka , waliojitokeza hadharani kujaribu kuokoa mali za nchi yao kwa kuandamana kupinga Mkataba wa Maisha yote wa Bandari za Tanzana waliotunukiwa Wageni wa DP WORLD , na baadaye kukamatwa kinyama na Polisi ambao nao ni Watanzania , HATIMAYE WAMEACHIWA KWA DHAMANA .

Walikuwa wanatetewa na Mawakili wasomi Deogratius Mahinyila na Dickson Matata .

View attachment 2663624View attachment 2663625View attachment 2663626
Hawa ndio mashujaa sasa
 
Wamejitahidi kuonyesha njia na kuwapelekea ujumbe mafisadi walioko madarakani kuwa hakuna lisilokuwa na mwisho
 
Watanzania Wafia Nchi , ambao Uzalendo wao umetukuka , waliojitokeza hadharani kujaribu kuokoa mali za nchi yao kwa kuandamana kupinga Mkataba wa Maisha yote wa Bandari za Tanzana waliotunukiwa Wageni wa DP WORLD , na baadaye kukamatwa kinyama na Polisi ambao nao ni Watanzania , HATIMAYE WAMEACHIWA KWA DHAMANA .

Walikuwa wanatetewa na Mawakili wasomi Deogratius Mahinyila na Dickson Matata .

View attachment 2663624View attachment 2663625View attachment 2663626
Hongereni Sana vijana wa wadau wote waliowadhamini watoke... Tunaomba kujua Siku ya kesi nasi tuandamane mahakamani. Wazalendo wote tunao panga kutokea mahakamani piga like hapa chini😁😁🙏🙏🙏
 
Watanzania Wafia Nchi , ambao Uzalendo wao umetukuka , waliojitokeza hadharani kujaribu kuokoa mali za nchi yao kwa kuandamana kupinga Mkataba wa Maisha yote wa Bandari za Tanzana waliotunukiwa Wageni wa DP WORLD , na baadaye kukamatwa kinyama na Polisi ambao nao ni Watanzania , HATIMAYE WAMEACHIWA KWA DHAMANA .

Walikuwa wanatetewa na Mawakili wasomi Deogratius Mahinyila na Dickson Matata .

View attachment 2663624View attachment 2663625View attachment 2663626

Wewe upo wapi hapo?
 
Nchi isiyoruhusu freedom of expression ni hatari sana, ni sawa na baba nyumbani asiyetaka mwanafamilia anyenyue mdomo wake hata kama karudi asubuhi home, just because yeye ati ni kichwa cha familia.
 
Back
Top Bottom