Wawekezaji wa ndani mpo?

MamaEE

Member
Jun 2, 2011
99
57
Natafuta wawekezaji wa ndani (aka WaTanzania) ili kuunganisha nguvu na kuanza miradi ya ukweli. Hili linawezekana maana tayari kuna mambo mazuri yanaendelea chini ya uongozi wa Malila na wengineo. Nafikiri tukipata watu kama 20 wenye kubobea kwenye sector tofauti na kiwango cha uwekezaji iwe $10,000 - $100,000 kila mtu, tutakuwa na pazuri pa kuanzia. Sio lazima ujibu hapa unaweza kunipm pia.
 
Back
Top Bottom