Wavuvi haramu kudhaminiwa na meli yao

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Kesi ya uvuvi haramu inayowakabili raia wa nchi tano za kigeni, baada ya raia hao kusota mahabusu kwa muda mrefu huku dhamana ikiwa na mizengwe kibao leo hakimu anayeendesha kesi hiyo Bi. Walyarwande Lema leo ametoa uamuzi wa dhamana. Hakimu huyo ameitaka Taasisis ya vyombo vya majini hapa nchini (Marine Institute) kwenda kuifanyia thathmini meli hiyo na kuangalia kama thamania yake inafaa kuwa dhamana ya wavuvi hao zaidi ya 30. Taasisis hiyo itarudisha jibu hilo mahakamani hapo Julai 2 mwaka huu. Wavuvi hao wamerudishwa gereza la keko wanakoendelea kusota kusubiri dhamana. Kesi hiyo itatajwa tena mahakamani hapo Julai 2 mwaka huu.


1245338710_2.jpg


...Wavuvi hao wakiwa mahakamani leo mchana kabla ya kesi hiyo kuanza.


1245338710_3.jpg


.Mmoja wa wavuvi hao akijikuna ukurutu mahakamani hapo.


1245338710_4.jpg


Sehemu ya mikono yake ikionesha ukurutu ulivyomshambulia. KEKO HAKUFAI!

PICHA:RICHARD BUKOS /GPL​
 
leo ni septamba 28, hiyo dhamana kama ilitolewwa tangu julai mbona hao wavuvi bado wanasota gerezani?
 
Back
Top Bottom