Wavuti ya kuwaumbuwa mafisadi yaanzishwa

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
haya jamani wenzetu Sauth Afrika wame amuwa kuanzisha wavuti itakayokuwa na kazi moja tu,ya kupokea majina ya walarushwa na mafisadi kutoka kwa wananchi na kuyatangaza hadharani majina hayo na kuwapeleka mahakani wote wahusikawanaharakati hao wameweka na namba za simu ili iwe rahisi kupata mawasiliano,kwani wanadai kuwa chama cha mh Zuma hakifanyi vyema ktk maswala ya ufisadije wanaharakati wa TZ mpooooozi? mmeona mifano hiyooooooooo?
 
Duh hao wamechelewa kweli sisi kwetu tanzania tulisha Iweka zamaaani ila tu ndio kwanza inaanza kuota meno. We ukifika bongo ulizia JF
 
Back
Top Bottom