Wauaji wa Jenerali Kombe: Njama za Kuwaachia huru ziliishia wapi?

excuse moi! Hebu nikumbushe u-criminal wake...., nimesahau kdg, si unajua miaka mingi? Nikumbushe tafadhali

Alishirkiana kwa karibu na Alhaji Hasan Mwnyi jambazi mwenzake waliozana watoto. Mkapa aliamua auwawe kwani alitaka kutoa Siri ya wizi wa kura 1995. Wale walishaachiwa kitambo kwa msamaha wa JK kwenye birthday yake. After all familia ilifidiwa nassikia över 500 Million Tshs.
 
Alishirkiana kwa karibu na Alhaji Hasan Mwnyi jambazi mwenzake waliozana watoto. Mkapa aliamua auwawe kwani alitaka kutoa Siri ya wizi wa kura 1995. Wale walishaachiwa kitambo kwa msamaha wa JK kwenye birthday yake. After all familia ilifidiwa nassikia över 500 Million Tshs.

how are we concentrate on Hear say?
 
Tafuta hukumu yao mahakamani ni rahisi kupata ndipo utakuwa na nguvu ya kulaumu kuachiwa kwao. Kama familia haijakata rufaa basi nao wao wameridhika na uamuzi huo vinginevyo ni majungu .

MAMA POROJO na wewe ni Bush lawyer sawa na yule "YEGO JAJI" Tendwa aliyemshauri Godbless Lema (MB)aliyetishiwa kuuwawa na Washili aende kuwaombe radhi Wauaji (Washili) ili wasimue" Eti hue ndio ushauri wa Kisheria wa JAJI Tendwa!

Mahakama kuu iliwatia hatiani wauaji wa Gen. Imran Kombe na kuwahukumu kifungo cha Maisha.

Kutoka na ubovu wa Katiba yetu (ambao nafikiri hili suala inabidi pia tuliangalie kwenye katiba mpya). Rais anao uwezo wa Kikatiba wa kumusamehe mfungwa yeyote aliyepatikana na hatia mbele ya mahakama mda na wakarti wowote bila kutoa sabababu za kumusamehe.

Pia msamaha wa aina hii wa RAIS hauwezi kuhojiwa na chombo chochote kile wala kukatiwa RUFAA.

Ndiyo maana nikakufananisha na JAJI Tendwa unaposema kwamba kama familia ya Kombe haikukata rufaa basi walilidhika na Msamaha wa RAIS wa Wauaji wa Kombe. Opportunity ya kukata Rufaa kwa Msamaha wa Wauaji wa Kombe haipo.

Ni Sawa Judge Damiani Lubuva hata akiwa Ambiensi akatangaza kwamba Rais JMT ni EL hakuna unapoweza kuhoji au kukata rufaa.

Haya ndiyo mapungufu makubwa ya Katiba yetu na ndiyo maana tunalilia katiba mpya. Unapokuwa SPIN DOCTOR jaribu pia kuwa informed na Jambo unalolitetea.
 
Back
Top Bottom