antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,890
- 121,038
Kimbembe kinanukia huko Ghaza.
Ni unafiki wa Waturuki na Urusi kutuma majeshi ya Ghaza au walikuwa wanagoja "timing" ya kidiplomasia kabla hawajafanya "move" yao.
Wayahudi na Wamarekani mavi debe, Jionee;
View: https://youtu.be/lVwK-lXMvDg?si=s71lmoSKbZwiuhk9
Je, huna uwezo wa kutambua kuwa hiyo video ni ya mchongo, feki?!