Watumishi wa umma wawaepuke matapeli hawa!

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Habarini za Kazi
Wadau naomba niwashirikishe jambo,

Kuna matapeli wanapiga simu kwa watumishi wakijitambulisha kuwa ni maafisa kutoka TAMISEMI atakutajia check number yako na particular zako zote mwisho na kukuambia ama una vyeti feki au umedanganya umri wako na vitu kama hivyo

Mwisho wa siku atakuambia anataka kukusaidia na kwamba umpatie kiasi Fulani cha fedha

Muwape taarifa walimu wote wakipigiwa simu kama hizo wasikubali kutoa pesa kama kuna utata wowote wawsiliane na ofisi kabla ya kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom