Watuhumiwa wa samaki wa ile meli ya Magufuri jela miaka 20

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
wale watuhumiwa(wavuvi haramu)wa samaki wa magufuri wamepigwa mvua 20 kila mmoja na wengine2 wameachiwa huru na meli imetahifishwa na serikari!
 
Duuuuuu! aisee hao ingekuwa kwao china, mida hii tuko tunachimba makaburi aiseeee! Itakuwaje sasa kwa familia zao na wale wakenya vp?
 
Huyo pilato anastahili kuongoza kesi za EPA, PCCB NA ZILE ZA UCHAGUZI
 
wenye kuweza kulipa 1bln kila mmoja wataachiwa huru!!!!!otherwise 20!!!!!
 
Back
Top Bottom