Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,092
45,778
In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita.

Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience now.

Sasa kama kila wakati unajikuta upo now (wakati uliopo) unachobidi kufanya ni ku-enjoy maisha muda wote, 24/7.

Na watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda wa kuwa na hofu kuhusu mambo yajayo au sana kuwaza yaliyopita.

That is way watoto wadogo muda Mwingi wapo happy because they don't think about past or future deeply.

So tomorrow is dulusion, kesho huwa haipo ni akili tu ya binadamu ndo ilikaa ikabuni masaa na siku lakini binadamu aliye hai huwa haishi past wala future ila anaishi now.
 
In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita.

Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience now.

Sasa kama kila wakati unajikuta upo now (wakati uliopo) unachobidi kufanya ni ku-enjoy maisha muda wote, 24/7.

Na watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda wa kuwa na hofu kuhusu mambo yajayo au sana kuwaza yaliyopita.

That is way watoto wadogo muda Mwingi wapo happy because they don't think about past or future deeply.

So tomorrow is dulusio,n kesho huwa haipo ni akili tu ya binadamu ndo ilakaa ikabuni masaa na siku lakini binadamu aliye hai huwa haishi past wala future ila anaishi now.
 
Hakuna binadamu ataishi bila stress mkuu
Hasa dunia ya leo ni ngumu na haiwezekani.

Kama unajua jana ilikuwepo basi leo ipo na kesho itakuwepo haijalishi unaiwazia au lah
Na kama kesho ipo itahitaji utimize ulichotimiza jana na leo.

Ni kweli hatutakiwi kuiogopa kesho ila tunatakiwa kujiandaa kwa kesho. Usiisahau jana maana imekupa fundisho usije ukarudia makosa leo au kesho.
 
In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita.

Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience now.

Sasa kama kila wakati unajikuta upo now (wakati uliopo) unachobidi kufanya ni ku-enjoy maisha muda wote, 24/7.

Na watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda wa kuwa na hofu kuhusu mambo yajayo au sana kuwaza yaliyopita.

That is way watoto wadogo muda Mwingi wapo happy because they don't think about past or future deeply.

So tomorrow is dulusio,n kesho huwa haipo ni akili tu ya binadamu ndo ilakaa ikabuni masaa na siku lakini binadamu aliye hai huwa haishi past wala future ila anaishi now.
......lakini yote ni ubatili......
 
Sio unakuwa kama Chadema, muda wote wamefura. Mtaishia miaka michache sana.
 
Back
Top Bottom