Watu wa west wana mtazamo tafauti kwa bikra!

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Msichana anaposema yupo VIRGIN (BIKRA) tunaelewa nini au kunakuwa na maana gani?kwani ukingalia kwa undani utagunduwa ya kuwa watu wa west wanamtazamo tafauti na ule tulio nao hapa TANZANIA.
 
Hivi mtazamo walionao watu wa west ni upi vile?

A person who has not experienced sexual intercourse. kwa mana nyingine hata kama atakuwa anatumia vile visaidizi :confused::confused:wao bado wanawaita VARGIN as long as haja experienced sexual intercourse.
 
Ki nyumbani ni yule ambaye hajawahi kujamiiana toka amezaliwa,lkn inatia mashaka kidogo hii ya nyumbani coz huwa wana apply something but still tunasema wapo virgin,ooops i suggest nadhani ya west imetulia zaidi au mwaionaje wakuu.!
 
A person who has not experienced sexual intercourse. kwa mana nyingine hata kama atakuwa anatumia vile visaidizi :confused::confused:wao bado wanawaita VARGIN as long as haja experienced sexual intercourse.

Shukrani kwa ufafanuzi mkuu, binafsi kwa mtazamo nilionao, bikra ni mtu yeyote ambaye hajawahi kufanya kile kitendo kwa njia yeyote ile aidha kwa njia ya Punyeto (masturbation) au kwa kujamiiana.
 
Bikra kwa wa west ni yule ambaye hajazaa !!!

kwa hiyo kila bwana anayetembea na msichana ambaye hajawahi kuzaa anakuwa amemtoa bikira??
yule aliyekuwa anainadi bikira yake kwenye intaneti na kununuliwa na lifanyabiashara lihuni la Kiitaliano alikuwa anauza nini?
naomba ufafanuzi tafadhali.
 
A person who has not experienced sexual intercourse. kwa mana nyingine hata kama atakuwa anatumia vile visaidizi :confused::confused:wao bado wanawaita VARGIN as long as haja experienced sexual intercourse.

vipi wale ambao mbele hawajawahi ila mlango wa nyuma ndio sehemu yao ya buradani? Je na wao wanapata hiyo sifa ya ubikira, au tuwaitaje?
 
mmhh confused!! Mi naamini wangu ni bikira kila ninapotaka kumrukia, baada ya shughuli ubikira wake unatoweka kwa muda na unarejea nikitaka tena!! In simple words, kila ninapokitaka naweka imani kuwa hakijawahi kuguswa na kiumbe/kiungo chochote duniani. Bila kuweka hivyo hisia zangu, jamaa hasimami hata kwa kengele!!
 
vipi wale ambao mbele hawajawahi ila mlango wa nyuma ndio sehemu yao ya buradani? Je na wao wanapata hiyo sifa ya ubikira, au tuwaitaje?

Watu wa aina hii ndio wale wanaoelezwa katika jamii hata ukiwatia(waweka)katika chupa basi watatowa kidole nje.
 
Back
Top Bottom