Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Ccm wanatumia ujinga wa Watanzania kama mtaji wao.
Kijijini hakuna coverage ya media, nivgumu kujua maswala kama Dowans n.k, lazma vyama vya upinzani vifanye kazi kutoa darasa jamii. Wasingojee kipindi cha chaguzi tu.
Tuelewe kuwa wazee wetu wamelelewa na ccm, inahitaji nguvu ya ziada kumpa somo auelewe ubaya wa ccm.
Vijana nao wanatuangusha, mikutano wanajaa ila kura hawapigi.